dorcas1234
Senior Member
- Mar 13, 2012
- 116
- 34
Mi nimeshindwa hapo kwenye bold tu......Natafuta mume wa umri tajwa hapo juu,mwanaume mwenye muonekano mzuri,mrefu asiye,ambaye hatumii kilevi chochote,mkristo,anayejiamini,hata kama utakuwa na watoto usijali tutashirikiana kulea.Mimi ni mwenye siha njema,nafanya kazi hapa dar,ni mkristo niko na 30 yrs,
kama wewe mwanaume unaizo sifa chache unakaribishwa.
Najua wengi mtananga kama ilivyo ada,yeyote atakaye PM atajibiwa.Tafadhali kama huna nia usijaribu.
ayaaa!unabahati mbaya sana na mimi bbie.tayari nimeshaoa.....Natafuta mume wa umri tajwa hapo juu,mwanaume mwenye muonekano mzuri,mrefu asiye,ambaye hatumii kilevi chochote,mkristo,anayejiamini,hata kama utakuwa na watoto usijali tutashirikiana kulea.Mimi ni mwenye siha njema,nafanya kazi hapa dar,ni mkristo niko na 30 yrs,
kama wewe mwanaume unaizo sifa chache unakaribishwa.
Najua wengi mtananga kama ilivyo ada,yeyote atakaye PM atajibiwa.Tafadhali kama huna nia usijaribu.
Mi nimeshindwa hapo kwenye bold tu......
Vipi kama:
1. Ana mke, uko tayari kuwa mke wa pili?
2. Ana virusi vya UKIMWI uko tayari kuishi naye kwa matumaini
3. Kama ni mlemavu?
4. Hana kazi?
5. Hajaenda shule
6. Ni muumini wa kubadilisha vimwana (japo hapigi mtungi)
7. Ana kojoleo size ya mguu wa mtoto wa darasa la tatu?
8. Ana kibamia kama cha Bagamoyo kilichokosa samadi.....?
9. Ana matege na kikojozi?
Siyo nakumanga ila nahisi hukuweka vigezo vyooooote stahiki.
Nakutakia kila la kheri.
kha! sasa haya yote yanakujaje jamani? mi nadhani walio walengwa watakuwa wamenielewa,kuwa mlemavu si ajabu kwani hayo nimaumbile tu maana hata wewe huijui kesho yako,nakuhusu shule sifikirii kama kuna mtu mwenye digrii ya mapenzi,Walengwa wamenielewa.
Hata mlemavu wa kijinsia?
unamaanisha nini? sijakupata vema nakama yupo pia ana haki yakuwa namke ,tusiwatenge hao ni wenzetu.
Usijali vuta subra utampata mwenye kheir na wewe.
Anael Jackob unamaanisha umeamua kujiunga JF maalum qa ajili ya kuunganishwa na Dorcas. Hongera na nakutakia mafanikio mema katika mawindo yako.Hi Dorcas Mimi najiamini ni mwanaume mwenye muonekano mzuri situmii kilevi cha aina yoyote na siha yangu ni njema Nimeajiriwa na kampuni moja ya wa Irish na ni mkristo mwenye umri wa miaka 40 nina watoto wawili ni wakubwa mmoja yupo secondary mwingine Primary kabila langu ni mchaga naomba Tuwasiliane tuangalie jinsi ya kuwa pamoja.
Duuuhh!! Bro! ume-join kwa ajili ya hii post tu au? nauliza tu!Hi Dorcas Mimi najiamini ni mwanaume mwenye muonekano mzuri situmii kilevi cha aina yoyote na siha yangu ni njema Nimeajiriwa na kampuni moja ya wa Irish na ni mkristo mwenye umri wa miaka 40 nina watoto wawili ni wakubwa mmoja yupo secondary mwingine Primary kabila langu ni mchaga naomba Tuwasiliane tuangalie jinsi ya kuwa pamoja.
Hi Dorcas Mimi najiamini ni mwanaume mwenye muonekano mzuri situmii kilevi cha aina yoyote na siha yangu ni njema Nimeajiriwa na kampuni moja ya wa Irish na ni mkristo mwenye umri wa miaka 40 nina watoto wawili ni wakubwa mmoja yupo secondary mwingine Primary kabila langu ni mchaga naomba Tuwasiliane tuangalie jinsi ya kuwa pamoja.
docas alipangalo mungu linakuwa hivyo vuta subira mambo mazuri hayataki haraka, na mangi tayari kagonga kengele