Hili swali limekuwa common sana siku hizi kwenye daladala, hili limekithiri katika route za shilingi 400. Konda kila akipewa hela yoyote ni lazima aulize " una mia hapo ?" . Najiuliza hivi shilingi mia mia zipo chache kwenye mzunguko ama vip! . Siku moja nilikuwa natoka Manzese naenda Sinza, yule konda wa ile daladala alikuwa ana mfuko mkubwa umejaa shilingi 100, na mia 200 chache, nafikiri alijua kuwa shilingi 100 ni issue kupatikana kwa abiria.
Makonda muwe mnanunua chenchi za mia mia ili mtupunguzie kelele kwenye hizi public transport, maana konda mwingine anauliza gari zima yani kwa kila abiria "una mia?, una mia hapo?" . Mi sina sh 100 nna buku sasa. Aagh!