Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,260 Mar 9, 2011 #1 Hii nimeinyaka toka katika viunga vya fikra zangu. Eti fikra zimenituma kuwaambia kuwa loliondo siku hizi ni 500/- duh!!
Hii nimeinyaka toka katika viunga vya fikra zangu. Eti fikra zimenituma kuwaambia kuwa loliondo siku hizi ni 500/- duh!!
Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,692 Mar 9, 2011 #2 Raia Fulani said: Hii nimeinyaka toka katika viunga vya fikra zangu. Eti fikra zimenituma kuwaambia kuwa loliondo siku hizi ni 500/- duh!! Click to expand... Ya nini???????
Raia Fulani said: Hii nimeinyaka toka katika viunga vya fikra zangu. Eti fikra zimenituma kuwaambia kuwa loliondo siku hizi ni 500/- duh!! Click to expand... Ya nini???????
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,260 Mar 9, 2011 Thread starter #3 Kimbweka said: Ya nini??????? Click to expand... hutaki dozi?
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,970 Reaction score 13,427 Mar 10, 2011 #4 kwahiyo uwanja sasa hivi hauna mbigili watu wacheze peku?
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,043 Reaction score 7,477 Mar 10, 2011 #5 Hahahaa! Wewe ni nouma! Naomba loliondo mbili. Naomba umpe jamaa loliondo moja.
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,260 Mar 10, 2011 Thread starter #6 Bigirita said: Hahahaa! Wewe ni nouma! Naomba loliondo mbili. Naomba umpe jamaa loliondo moja. Click to expand... loliondo yenyewe ninayo 1 ya kuchukulia dozi. Si unajua hachukui zaidi?
Bigirita said: Hahahaa! Wewe ni nouma! Naomba loliondo mbili. Naomba umpe jamaa loliondo moja. Click to expand... loliondo yenyewe ninayo 1 ya kuchukulia dozi. Si unajua hachukui zaidi?
komedi JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 204 Reaction score 17 Mar 10, 2011 #7 Raia Fulani said: Hii nimeinyaka toka katika viunga vya fikra zangu. Eti fikra zimenituma kuwaambia kuwa loliondo siku hizi ni 500/- duh!! Click to expand... Kweli loliondo moja 500/=, tatizo kunyosha mkono kuipokea Ths 200,000/= na wiki mbili na nusu. Naogopa kunyosha mkono!!!!!!!!!!
Raia Fulani said: Hii nimeinyaka toka katika viunga vya fikra zangu. Eti fikra zimenituma kuwaambia kuwa loliondo siku hizi ni 500/- duh!! Click to expand... Kweli loliondo moja 500/=, tatizo kunyosha mkono kuipokea Ths 200,000/= na wiki mbili na nusu. Naogopa kunyosha mkono!!!!!!!!!!
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,378 Mar 10, 2011 #8 Viongozi wetu very greedy wamekunywa dawa ya BABU halafu wanajidai eti wanasimamisha huduma, serikali over my foot!!!!
Viongozi wetu very greedy wamekunywa dawa ya BABU halafu wanajidai eti wanasimamisha huduma, serikali over my foot!!!!
mdoe JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 433 Reaction score 103 Mar 10, 2011 #9 soon, itapatikana dar es salaam. si unajua wabongo kwa kuchakachua?
birungi JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 391 Reaction score 16 Mar 10, 2011 #10 una chenj ya loliondo.
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,260 Mar 10, 2011 Thread starter #11 Chimunguru said: Viongozi wetu very greedy wamekunywa dawa ya BABU halafu wanajidai eti wanasimamisha huduma, serikali over my foot!!!! Click to expand... chifu si bora wamesimamisha? Kuna jam ya kuua huko
Chimunguru said: Viongozi wetu very greedy wamekunywa dawa ya BABU halafu wanajidai eti wanasimamisha huduma, serikali over my foot!!!! Click to expand... chifu si bora wamesimamisha? Kuna jam ya kuua huko