Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,554
- 97,968
Rafiki kitu kilichopo ndani yangu ni kubeti![emoji16][emoji16][emoji16]
Hebu niache 😂😂😂😂
Rafiki kitu kilichopo ndani yangu ni kubeti![emoji16][emoji16][emoji16]
Jiongeze tu.... mm najua Mwanamke akiamua kumtia nguvu mwanaume.... hashindwi..1 step forward ndio nafanyaje?nielekeze
Ni dhambi kufa na potentials..Ili jambo niwaza sana toka juzi...kuna kitu ninacho ndan yangu na ni unique, let me take a step