Una kitu kipo ndani yako nakushauri kitumie

Una kitu kipo ndani yako nakushauri kitumie

Showio

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2019
Posts
254
Reaction score
482
Kuna wakati kwenye maisha utajikuta uko chini kabisa na giza limetawala na nguvu zimekuisha.kila ulichojaribu kimeshindikana na ulichotumaini kikutoe ili ubadilishe maisha yako kimeshindikana kabisa.

Kama unapitia hali hii kumbuka kuwa kufanikiwa kwenye maisha sio kutokuanguka kabisa bali ni kudhamiria kuwa kila utakapoanguka utajilazimisha kuinuka tena.

Usisubiri hisia nzuri ili uendelee-amua kuwa hautakatia tamaa ndoto yako, inawezekana.

Una kitu kikubwa ndani yako,ndoto uliyonayo inawezekana kutimia-usiruhusu mazingira magumu ya muda mfupi unayopitia leo yakufanye ushindwe kuendelea na safari.

Leo jiambie-“nitainuka tena,nitashinda “-so shall it be.
 
Kila kitu kina mwanzo na mwisho.furaha ya leo ndio huzuni ya kesho na huzuni ya leo ni furaha ya kesho.kikubwa ni kutokata tamaa "kesho nayo ni siku".hii kauli tunapenda kuitumia sana kwa muhindi baada kuchana mikeka tunajipa moyo kesho nayo ni siku.maisha haya.
 
#Hakuna aliyewahi kufanikiwa pasipo kupitia changamoto,Tunajifunza kulinga na changamoto.Changamoto zipo Ili kutuongezea maarifa na njia za kutatua tatizo.

#Kaza buti inuka usonge mbele usirudi nyuma Mapambano bado yanaendelea.Uonapo usiku unazidi ujue nuru imekaribia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said
 
Tommorow is not a day
Kila kitu kina mwanzo na mwisho.furaha ya leo ndio huzuni ya kesho na huzuni ya leo ni furaha ya kesho.kikubwa ni kutokata tamaa "kesho nayo ni siku".hii kauli tunapenda kuitumia sana kwa muhindi baada kuchana mikeka tunajipa moyo kesho nayo ni siku.maisha haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom