Una kadi ngapi za harusi mpaka sasa?

Ukichangia, lazima uchangiwe
 
Michango ya harusi haijaanza leo hapa nchini.....toka vijijini huko harusi zilikuwa nzuri sana kwa michango ya wanajamii wa hapo kijijini...na huku mjini kuna taratibu zake lakini siku hizi kuna wapigaji katika hizo harusi na ndiyo maana uchangiaji umepungua siku hizi.
 
Imefikia hatua hadi Wanawake wanaomba michango ya harusi. Mtu anaolewa anaomba mchango- anaemuoa nae anaomba michango
Kinachosikitisha ni kwamba katika mambo ya msingi kama elimu na matibabu hatuchangiani ila sherehe tu!
 
Tatizo unajidai hupendi kuchangia wenzio ila ikifika zamu yako nawe unaanza kuomba. Kama una uhakika hutamchangisha mtu piga kimya
Kuchangia wenzio sio sababu ya wewe kuchangiwa.
Unaweza kuchanga na usichangiwe ukaishia kulaumu watu tu
 
usichangie mkuu ila ujue mchango sio harusi tuu unaweza umwa ?fiwa ?n.k hao ambao haujawachangia watakuangalia tuu binafsi hua sio mnafiki nijali nikujali nitupe nikutupe
 
Ukiwa na innovative mind unaweza ukafanya harusi simple sana na ikapendeza tatizo tunapenda comparison sana eti kama ya fulani ilikuwa vile mimi Nita double zaidi yake
Kwanza ni wizi kwa Mungu sadaka unatoa less than 10k then harusi uje utoe more than 50k
Nisha Sema sitoi sitoi sitoi
MI harusi yangu tukitoka kanisa the game is over ni kuingia kwenye gari tunafanya adventure Ngorongoro crater baaaaasi sitamuomba mtu hata mia yake......
 


Umenikuna Mkuu

Ipo haja kuanzisha kampeni maalumu juu ya hili jambo
 
Kuna sababu gani ya kulalamika ikiwa una uwezo wa kukataa...
Ni wazi wanao kuomba mchango ulishawaomba mchango ...
Sio wote asee, nipo mkoa wa ugenini so issues zangu zilizotaka michango hawakushiriki. In my list walonichangia kupitia my power hawazidi 2
 
changia kama walikuchangia
 
Mm nina kadi 3 na zote siwezi kukwepa [emoji17]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…