Huyo wa basidei ungemuachia bonge la tusi, kimbe kuna wtu wajinga kiasi hicho?Aisee leo nimeletewa kadi ya tisa ya mchango wa harusi, single 80,000
Nyingine ni;
1. 40,000 Sept
2. 90,000 Sept
3. 40,000 Oct
4. 50,000 Sept
6. 70,000 Aug
7. 150,000 Oct
8. 35,000 Nov
Total 555,000/=
Mshahara wangu sasa ni kichekesho!!!
Kuna wawili wananipigia nimewakaushia. Mwingine mchango wa besidei nimetoka nduki. Yaani hapa ukijumlisha na madeni ntakimbia mji asee!
Hizi harusi hizi.
Huu ni Upumbavu Wa Siku Izi!Kuwekeana Kiwango Cha Michango!Mie Nilikuwa Na Kadi Mbili Moja Ilishapita Sijatoa Niliamua Kumute na Kuhide group la Mchango[emoji16][emoji16]Na Nyingine Sitoi!Aisee leo nimeletewa kadi ya tisa ya mchango wa harusi, single 80,000
Nyingine ni;
1. 40,000 Sept
2. 90,000 Sept
3. 40,000 Oct
4. 50,000 Sept
6. 70,000 Aug
7. 150,000 Oct
8. 35,000 Nov
Total 555,000/=
Mshahara wangu sasa ni kichekesho!!!
Kuna wawili wananipigia nimewakaushia. Mwingine mchango wa besidei nimetoka nduki. Yaani hapa ukijumlisha na madeni ntakimbia mji asee!
Hizi harusi hizi.
Kwa kuwa ushapita sio?Kuchangia harusi ni maamuzi ya mtu. Binafsi nilishastaafu michango ya sherehe(anasa) zisizo za lazima wala
Kuna sababu gani ya kulalamika ikiwa una uwezo wa kukataa...Aisee leo nimeletewa kadi ya tisa ya mchango wa harusi, single 80,000
Nyingine ni;
1. 40,000 Sept
2. 90,000 Sept
3. 40,000 Oct
4. 50,000 Sept
6. 70,000 Aug
7. 150,000 Oct
8. 35,000 Nov
Total 555,000/=
Mshahara wangu sasa ni kichekesho!!!
Kuna wawili wananipigia nimewakaushia. Mwingine mchango wa besidei nimetoka nduki. Yaani hapa ukijumlisha na madeni ntakimbia mji asee!
Hizi harusi hizi.
Hii michango itatuua mimi niliamua kujifungia ndoa ya kiserikali na nikaalika watu watatu tu dereva, wasindikizaji wawili ndoa ikafungwa.Aisee leo nimeletewa kadi ya tisa ya mchango wa harusi, single 80,000
Nyingine ni;
1. 40,000 Sept
2. 90,000 Sept
3. 40,000 Oct
4. 50,000 Sept
6. 70,000 Aug
7. 150,000 Oct
8. 35,000 Nov
Total 555,000/=
Mshahara wangu sasa ni kichekesho!!!
Kuna wawili wananipigia nimewakaushia. Mwingine mchango wa besidei nimetoka nduki. Yaani hapa ukijumlisha na madeni ntakimbia mji asee!
Hizi harusi hizi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wa birthday katisha hana aibuHuyo wa basidei ungemuachia bonge la tusi, kimbe kuna wtu wajinga kiasi hicho?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Aisee naona humu kila Mtu hachangii sasa hao wanaochangaga sijui wanatoka dunia ipi!!