Una gari?

Please naomba utueleze hiyo tracker itakuwa based kwenye principle gani
kama ni satelite based (GPS)lazima kuwe na monthly payment na hizo speed sensors zitakuwa zinatuma sms from which account? Plz be serious

hakuna malipo ya mwisho wa mwezi. kama upo dar es salaam na unahitaji kweli nitafute. na nitakuonyesha jinsi kinavyofanya kazi katika moja ya gari linalotumia kifaa hiko
 
Je mna matawi mikoani zaidi ya Dsm??
 
kuwa muwazi mzee je hio system inaweza fanya kazi bila network ya cmu mfano nimeweka line ya tigo siku hio gari imewkenda sehemu ambayo hakuna mtandao wa tigo je nitapata nitaweza jua speed ya gari au hio system inategemea sehemu zenye mtandao tu?

Na kama ni hivyo huoni kuwa kwa tanzania haitaweza fanya kazi vizuri kwa sababu mitandao ipo mjini tu au mtandao wa tigo ukiwa chalinze kahama hakuna tigo kuna zaini mtwara hakuna zain kuna airtel naomba ufafanuzi zaidi

Mkuu uko mbinga eeh! I like the place,hali ya hapo ni bomba sana
 
Kutokana na wizi wa Magari Hiyo ni system nzuri. Kufunga nitakutafuta unifungie Je inachukua muda gani kufunga?
 

Wewe unalo gari?
 

unaweza chagua mtandao unaoweza kukufaa kutokana na wewe ulipo na shughuli unazofanya ,eneo unalofanyia na uhakika wa huo mtandao utakaochagua katika maeneo ya shughuli yako,
 
Kutokana na wizi wa Magari Hiyo ni system nzuri. Kufunga nitakutafuta unifungie Je inachukua muda gani kufunga?

ufungaji hauchukui muda ndani ya masaa machache tu utakuwa umeshafungiwa kama unahitaji nitafute kwenye simu , na kama unahitaji kuonyeshwa kabisa kinavyofanya kazi unaweza weka appointment na tutakufuata hapo ulipo na tutakuonyesha, toa shaka huduma ni ya uhakika kabisa
 
ina maana ninyi hamna hata ofisi? mnapatikana wapi sasa?
 
kwa wale ambao mnahitaji mnaweza weka oda yenu sasa wakati vifaa vikisubiri kuingia .weka oda kwa kupiga simu namba 0714890018
 
kwa wale ambao mnahitaji mnaweza weka oda yenu sasa wakati vifaa vikisubiri kuingia .weka oda kwa kupiga simu namba 0714890018

Mambo ya oda weka kando kwanza,
Price range??
 
50 Years of In-dependency Tanzania tunawezaaaaa!

:lol::lol::lol:
 
Nina wasiwasi na charge za mwezi,kwa sababu system iki-trigger na ikatuma sms ujue kwenye hiyo modem lazima kiwe na hela labda uchukue post paid line uwe unalipa kwa mwezi kwenye kampuni ya cm,sms zinazotumwa kwenda kwa wateja lazima uzilipie au labda ufanye configuration anayetumiwa ndo akatwe hela hapo nitakukubalia ozawiz changa la macho kwamba ukitoa Usd280 ndo basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…