Kiresua
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 1,183
- 261
Mrembo mmoja alipokea cm ya namba ngeni na mazungumzo yakawa hivi ;-
NAMBA NGENI: hallow, una boyfriend..??
MREMBO: ndio ninae kwn wee nan ??
NAMBA NGENI: mimi baba ako kumbe una boyfriend nikirud utanitambua.
....simu ikakatika...
Mrembo akiwa na mawazo nini afanye simu ikaita tena kwa namba ngeni tofauti na ya mwnzo:
NAMBA NGENI: hallow, una boyfriend??
MREMBO: hapana cna.
NAMBA NGENI: vipi mpenzz?? Ina maana
umensaliti??
MREMBO: hapana bby nlijua baba kanipigia simu sasa hiv.
NAMBA NGENI: ni mimi baba yako, nilitaka kuhakikisha tu kama kweli una boyfriend, nakwambia utanikoma leoo!
Enjoy!!