UN yavunja ukimya Tanzania

UN yavunja ukimya Tanzania

wataisom namba,,,,zamu hii acha marekani iingilie uhuru wetu,,,, vinginevyo maccm yatatutawala milele
 
Acha uongo UN ya congo au?maana UN TANZANIA haijatoa tamko hilo!

Kwa yeyote aliyesikiliza redio free leo kipindi cha tuzungumze magazeti mwanzo mpaka mwisho hawezi kuniita mm mwongo hata kidogo, mm binafsi sion faida ya kudanganya zaidi nikujidhalilisha mm mwenyewe nakama ungenijua mm ungesita kabisa kama si kuacha kusema mm ni mwongo
 
Tatizo lenu maccm wengi wenu hamsikilizi au kuangalia tarifa za habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari,kazi yenu nikusikiliza miziki na kuangalia picha za uchi.

Kwi kwi kwi kwi kwi kwi
 
Kaka usiumize kichwa CCM wengi wao ni kuangalia phonerotica na gazeti la Tazama awamu hii hadi Bulembo atabaki na boxer jukwaani.
 
Wewe gamba acha kujidai kama hujaona hilo la UN.
Mtakoma safari hii.

Hahahah Mkuu Kuwakumbusha Kama Kuna Mech Kwani Ni Dhambi?
Bythe Way,tafiti Zilitolewa Zote Zimegawanyika Kuna Nyingine Zimembeba Ukawa Nyingine Ccm So Tamko La UN Lina Linaeffect Kote Sio Ccm Tu.Na Kwetu Sisi Ccm,We Dont Take Them As A Cake To Justify The Win,But As A Lesson To Move On In The Right Direction.....!!
 
Naomba wana jf tujenge utamaduni wa kujadili hoja zinazoletwa taasisi na watu mabalimbali,vijembe havisaidii na tunakuwa hatuna tofauti vijiwen
 
Tafiti uchaguzi wa Urais Tanzania hazitoshi kumjua mshindi wa Urais Tanzania, hayo yamesemwa na mwakilishi mkazi wa umoja wa mataifa Tanzania (UN)
Source ni Mwananchi ipandishe juu post hii ili watu wasikusumbue.

UN: Tafiti za uchaguzi hazijaamua mshindi

By Julius Mathias, Mwananchi

Dar es Salaam. Zikiwa zimebaki siku 17 kabla ya Uchaguzi Mkuu kufanyika nchini huku kampeni zikiendelea kupamba moto, Umoja wa Mataifa (UN) umesema tafiti zilizofanywa juu ya mbio za urais hazitoshi kutoa picha halisi ya atakayeibuka mshindi.

Hayo yalisemwa jana na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Balozi Alvaro Rodriguez alipotembelea ofisi za gazeti hili na kuzungumza na wahariri pamoja na waandishi.

Akiwa sambamba na Ofisa Mawasiliano wa UN, Hoyce Temu, mratibu huyo alisema kwa hali ya kisiasa ilivyo hivi sasa, kwa mtazamo wake anaona kulikuwa na mwanya wa kutosha kwa taasisi nyingi zaidi kujitokeza na kutoa taswira ya matokeo ya uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25.

“Ukweli kwamba zaidi ya watu 23.7 milioni wameandikishwa kati ya 24 milioni waliokadiriwa na NEC (Tume ya Taifa ya Uchaguzi) inadhirisha kulikuwa na maandalizi ya kutosha na elimu ya kutosha ilifika kwa wananchi. Lakini tafiti zilizotangazwa mpaka sasa siyo za kutosha kuweza kutoa picha ya nani anaweza kuibuka mshindi baada ya kura kupigwa,” alisema.

Pamoja na hali ya kisiasa iliyopo nchini, Rodriguez alisema upigaji kura ni hatua moja ya maendeleo ya taifa, lakini utawala bora ni kitu muhimu kitakachoiunganisha Tanzania na mataifa mengine duniani.

Aliwataka wadau wote kuzingatia suala hilo na kuliangalia kwa jicho la ziada.

Mratibu huyo alisema kwamba mara zote uchaguzi unahusisha vyama vingi vyenye itikadi tofauti za kiuchumi, akimaanisha ujamaa na ubepari na kutoa angalizo kwa wananchi kutambua wanachohitaji kwa miaka mitano ijayo.

“Yametokea mabadiliko katika siasa za ndani. Kinachoendelea hivi sasa kisingeweza kutabiriwa miezi mitano iliyopita. Kinachoonekana ni kama siasa za Tanzania zinategemea sana ushawishi wa mtu mmoja mmoja,” alisema. Rodriguez.
 
Sasa si walau ueleze alisemea wapi na source ni ipi ili tusome wenyewe na alitoa mfano upi ambao matokeo ya utafiti na reality ni tofauti? Mtu wa UN hawezi akadokeza kidogo hivi kama mtu anayemwambia mpenzi wake wakadinyane.

Nyie dotcom kumbe mnadinyana kiurahisi! enzi zetu mpaka udinye lazima uumwe na mbu sana na umwagiwe ukoko ukiwa umejibanza ukutani
 
Source ni Mwananchi ipandishe juu post hii ili watu wasikusumbue.

UN: Tafiti za uchaguzi hazijaamua mshindi

By Julius Mathias, Mwananchi

Dar es Salaam. Zikiwa zimebaki siku 17 kabla ya Uchaguzi Mkuu kufanyika nchini huku kampeni zikiendelea kupamba moto, Umoja wa Mataifa (UN) umesema tafiti zilizofanywa juu ya mbio za urais hazitoshi kutoa picha halisi ya atakayeibuka mshindi.

Hayo yalisemwa jana na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Balozi Alvaro Rodriguez alipotembelea ofisi za gazeti hili na kuzungumza na wahariri pamoja na waandishi.

Akiwa sambamba na Ofisa Mawasiliano wa UN, Hoyce Temu, mratibu huyo alisema kwa hali ya kisiasa ilivyo hivi sasa, kwa mtazamo wake anaona kulikuwa na mwanya wa kutosha kwa taasisi nyingi zaidi kujitokeza na kutoa taswira ya matokeo ya uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25.

“Ukweli kwamba zaidi ya watu 23.7 milioni wameandikishwa kati ya 24 milioni waliokadiriwa na NEC (Tume ya Taifa ya Uchaguzi) inadhirisha kulikuwa na maandalizi ya kutosha na elimu ya kutosha ilifika kwa wananchi. Lakini tafiti zilizotangazwa mpaka sasa siyo za kutosha kuweza kutoa picha ya nani anaweza kuibuka mshindi baada ya kura kupigwa,” alisema.

Pamoja na hali ya kisiasa iliyopo nchini, Rodriguez alisema upigaji kura ni hatua moja ya maendeleo ya taifa, lakini utawala bora ni kitu muhimu kitakachoiunganisha Tanzania na mataifa mengine duniani.

Aliwataka wadau wote kuzingatia suala hilo na kuliangalia kwa jicho la ziada.

Mratibu huyo alisema kwamba mara zote uchaguzi unahusisha vyama vingi vyenye itikadi tofauti za kiuchumi, akimaanisha ujamaa na ubepari na kutoa angalizo kwa wananchi kutambua wanachohitaji kwa miaka mitano ijayo.

“Yametokea mabadiliko katika siasa za ndani. Kinachoendelea hivi sasa kisingeweza kutabiriwa miezi mitano iliyopita. Kinachoonekana ni kama siasa za Tanzania zinategemea sana ushawishi wa mtu mmoja mmoja,” alisema. Rodriguez.

Asante
 
QUOTE=tethering;14244728]Tafiti uchaguzi wa Urais Tanzania hazitoshi kumjua mshindi wa Urais Tanzania, hayo yamesemwa na mwakilishi mkazi wa umoja wa mataifa Tanzania (UN)[/QUOTE]
 
Tafiti uchaguzi wa Urais Tanzania hazitoshi kumjua mshindi wa Urais Tanzania, hayo yamesemwa na mwakilishi mkazi wa umoja wa mataifa Tanzania (UN)
Source ni Mwananchi ipandishe

UN: Tafiti za uchaguzi hazijaamua mshindi

By Julius Mathias, Mwananchi

Dar es Salaam. Zikiwa zimebaki siku 17 kabla ya Uchaguzi Mkuu kufanyika nchini huku kampeni zikiendelea kupamba moto, Umoja wa Mataifa (UN) umesema tafiti zilizofanywa juu ya mbio za urais hazitoshi kutoa picha halisi ya atakayeibuka mshindi.

Hayo yalisemwa jana na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Balozi Alvaro Rodriguez alipotembelea ofisi za gazeti hili na kuzungumza na wahariri pamoja na waandishi.

Akiwa sambamba na Ofisa Mawasiliano wa UN, Hoyce Temu, mratibu huyo alisema kwa hali ya kisiasa ilivyo hivi sasa, kwa mtazamo wake anaona kulikuwa na mwanya wa kutosha kwa taasisi nyingi zaidi kujitokeza na kutoa taswira ya matokeo ya uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25.

“Ukweli kwamba zaidi ya watu 23.7 milioni wameandikishwa kati ya 24 milioni waliokadiriwa na NEC (Tume ya Taifa ya Uchaguzi) inadhirisha kulikuwa na maandalizi ya kutosha na elimu ya kutosha ilifika kwa wananchi. Lakini tafiti zilizotangazwa mpaka sasa siyo za kutosha kuweza kutoa picha ya nani anaweza kuibuka mshindi baada ya kura kupigwa,” alisema.

Pamoja na hali ya kisiasa iliyopo nchini, Rodriguez alisema upigaji kura ni hatua moja ya maendeleo ya taifa, lakini utawala bora ni kitu muhimu kitakachoiunganisha Tanzania na mataifa mengine duniani.

Aliwataka wadau wote kuzingatia suala hilo na kuliangalia kwa jicho la ziada.

Mratibu huyo alisema kwamba mara zote uchaguzi unahusisha vyama vingi vyenye itikadi tofauti za kiuchumi, akimaanisha ujamaa na ubepari na kutoa angalizo kwa wananchi kutambua wanachohitaji kwa miaka mitano ijayo.

“Yametokea mabadiliko katika siasa za ndani. Kinachoendelea hivi sasa kisingeweza kutabiriwa miezi mitano iliyopita. Kinachoonekana ni kama siasa za Tanzania zinategemea sana ushawishi wa mtu mmoja mmoja,” alisema. Rodriguez.

Sasa hapo kijana Umekwiva....hii sasa ndo habari.

Nimeshasema magamba mwaka huu watachafua boxeeer
 
Nyie dotcom kumbe mnadinyana kiurahisi! enzi zetu mpaka udinye lazima uumwe na mbu sana na umwagiwe ukoko ukiwa umejibanza ukutani

Mlikuwa hamjui kutongoza...unaanza na gia eti.... Baba yangu anamiliki Reli, unadhani uroda utapewa saa ngapi/. Kwanza sasa hivi mtu hata kwa comment yake tu unakuwa ushajua kuwa huyu hatuwezi nyimana. Mfano majibu ya Juliana Shonza yale majibu yake tu....unakuwa ushajua hapa yeye na magamba wenzie watamalizana
 
Tatizo lenu maccm wengi wenu hamsikilizi au kuangalia tarifa za habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari,kazi yenu nikusikiliza miziki na kuangalia picha za uchi.
Acha povu boya wewe kwa kudanganya watu!!toa source!
 
Wananchi wanataka mabadiliko, kufuli linataka mabadiliko sasà unategemea nini hapo
 
Back
Top Bottom