UN yasema Watu milioni 1.3 wapoteza makazi Sudan

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa (UN) limeeleza mapigano ya kuwania madaraka yanayoendelea Nchini hapo yamesababisha Watu zaidi ya milioni moja kuyahama makazi yao na kwenda katika maeneo salama ndani ya Sudan huku wengine 320,000 wakikimbia Nchi jirani za Misri, Sudan Kusini, Chad, Ethiopia, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Libya.

Mapigano hayo yalianza Aprili 15, baada ya miezi kadhaa ya mivutano mikali kati ya jeshi linaloongozwa na Jenerali Abdel-Fattah Burhan, na Vikosi vya Rapid Support Forces vinavyoongozwa na Jenerali Mohamed Hamdan Dagalo.

Mzozo huo umevuruga matumaini ya Wasudan kuwa na Demokrasia, ambapo mgogoro huo umesababisha vifo vya raia 863, wakiwemo watoto wasiopungua 190, na kujeruhi watu wengine zaidi ya 3,530.

#########


UN: Sudan conflict displaces over 1.3 million, including some 320K to neighboring countries

The International Organization for Migration said the clashes have forced over 1 million people to leave their homes to safer areas inside Sudan. Some 320,000 others have fled to the neighboring countries of Egypt, South Sudan, Chad, Ethiopia, the Central African Republic and Libya.

The fighting erupted on April 15 after months of escalating tensions between the military, led by Gen. Abdel-Fattah Burhan, and the Rapid Support Forces commanded by Gen. Mohamed Hamdan Dagalo. The conflict derailed Sudanese hopes of restoring the country’s fragile transition to democracy, which was disrupted by a military coup led by the two generals in October 2021.

The conflict has killed at least 863 civilians, including at least 190 children, and wounded more than 3,530 others, according to the most recent numbers from the Sudanese Doctors’ Syndicate — which mainly tracks civilian casualties. It has also pushed the East African country to near collapse, with urban areas in the capital, Khartoum, and its neighboring city of Omdurman turning into battlegrounds.

Source: AP News
 
Back
Top Bottom