joseph khassim
Member
- Jul 2, 2009
- 6
- 3
Hukumalizia 138 NDIYO, 9 HAPANA na 41 ABSTAINING (ZILISUSIA KURA)
1. Just for CURIOSITY mwenye INFO Je, ni nchi GANI zilizopiga kura ya HAPANA?
2. Je URT ilipiga KURA yake wapi katika makundi hayo matatu?
Hizi ndio Nchi zilizo piga kura ya hapana, canada, czech, marshall island, micronesia, nauru, palau, panama, usa and israel.