Hivi kuomba ruhusa ya kutengeneza VACCINE - COVID-19, tunajiona wajuaji sana nini?Kuna haja ya kuambiana ukweli. Kama taifa UN hatukufurukuta.
Siyo siri, madhumuni ya mkutano ule ilikuwa ni kwa mataifa kuweka wazi sera zao za nje zenye kuelezea maingiliano baina ya nchi na nchi.
Mkutano ule haukuwa wakutafutia wawekezaji, kutangazia utalii wala kuhusiana na mambo ya ndani ya nchi.
[
Badala yake tukatumia muda kujielekeza kwenye mambo ya kijinsia. Kwani tulivisahau vyuma vilivyo tikisa dunia hii wakiwamo akina Angel Merkel, Thatcher, Indira Gandhi, Golda Meir, nk?
Usawa wa kijinsia katika mataifa nje ya Africa si agenda zao. Huko walikwisha toka zamani. Mama Clinton alikuwa achukue urais wa dunia na wala si kwa kudra za Mola.
Taarifa za Corona tulizosoma ni za WHO ambayo ni agency tanzu ya UN yenyewe.
Kwamba tuna ushauri kuhusu chanjo ya Corona ambayo aghalabu tunataka hata copyright kwenye chanjo isiwepo wakati tunapewa bure?
Hatuna neno lolote kuhusu nyungu, maombi, mikaratusi, michai chai, malimao au hata na matango pori mengine?
Hatuna neno lolote kuhusiana vita vya kiuchumi hasa hasa mabeberu dhidi ya Tanzania?
Hatuna neno kumhusu beberu yeyote na upigaji wake kwenye chanjo, barakoa, PPE au kuhusu Corona kwa ujumla?!
Kwani dunia haikupata kutusikia na misimamo yetu na shujaa wetu wanayeshuku Corona haikumnusuru?
Kwani zile takwimu za ugonjwa wa Corona ambazo dunia imekuwa ikituasa kuzitoa tumewahi kuzitoa?
Tupitieni hotuba za wengine kulinganisha na ya kwetu.
Ama kwa hakika hatukufua dafu!
Hivi kuomba ruhusa ya kutengeneza VACCINE - COVID-19, tunajiona wajuaji sana nini?View attachment 1952505View attachment 1952506
Haa Haa HaaIlkua bado kidogo tu aseme yeye ni Raisi mwanamke wa kwanza kuhutubia UN
Wewe huwa unawasifia mpaka unatia huruma wakati ukijua kabisa wale ni watafutaji kwa manufaa binafsi.Kuna haja ya kuambiana ukweli. Kama taifa UN hatukufurukuta.
Siyo siri, madhumuni ya mkutano ule ilikuwa ni kwa mataifa kuweka wazi sera zao za nje zenye kuelezea maingiliano baina ya nchi na nchi.
Mkutano ule haukuwa wakutafutia wawekezaji, kutangazia utalii wala kuhusiana na mambo ya ndani ya nchi.
Badala yake tukatumia muda kujielekeza kwenye mambo ya kijinsia. Kwani tulivisahau vyuma vilivyo tikisa dunia hii wakiwamo akina Angel Merkel, Thatcher, Indira Gandhi, Golda Meir, nk?
Usawa wa kijinsia katika mataifa nje ya Africa si agenda za kupeleka UN labda AU. Huko waungwana walikwisha toka zamani. Mama Clinton alikuwa achukue urais wa dunia na wala si kwa kudra za Mola.
Taarifa za Corona tulizosoma ni za WHO ambayo ni agency tanzu ya UN yenyewe.
Kwamba tuna ushauri kuhusu chanjo ya Corona ambayo aghalabu tungetaka hata copyright kwenye chanjo isiwepo wakati tunapewa bure?
Hatuna neno lolote kuhusu nyungu, maombi, mikaratusi, michai chai, malimao au hata na matango pori mengine?
Hatuna neno lolote kuhusiana vita vya kiuchumi hasa hasa mabeberu dhidi ya Tanzania?
Hatuna neno kumhusu beberu yeyote na upigaji wake kwenye chanjo, barakoa, PPE au kuhusu Corona kwa ujumla?!
Kwani dunia haikupata kutusikia na misimamo yetu na shujaa wetu wanayeshuku Corona haikumnusuru?
Kwani zile takwimu za ugonjwa wa Corona ambazo dunia imekuwa ikituasa kuzitoa tumewahi kuzitoa?
Tupitieni hotuba za wengine kulinganisha na ya kwetu.
Ama kwa hakika hatukufua dafu!
Wewe huwa unawasifia mpaka unatia huruma wakati ukijua kabisa wale ni watafutaji kwa manufaa binafsi.
Rejea ajenda zako za awali i;lizojitabanaisha ukiwa kwenye kampeni za uchaguzi kwa Lissu
Ninachofurahia hapa ni uhuru wa kujieleza bila kua na hofu ya post yako kufutwa au uzi mzima utafungiwa
Awamu ya mwendazake ilikua ni marufuku kwa mtu kuwa na mawazo huru na kuyatoa hadharani kama hivi
Ushindi ni Tanzania kushirikiana na mataifa mengine. Rais wa nchi kutokuwa na woga wa kujenga hoja na kuhutubia mataifa yenye nguvu za kiuchumi na kijeshi. Kusimama pale mbele - Umoja wa mataifa si kazi ndogo. Kuna Marais wengi wamegwaya kufika pale mbele- kuzungumza na kueleweka. Pale U.N. hupangiwi nini uzungumze, Tanzania sio Taifa kubwa. Nilimsikia Rais wa marekani akizungumzia uviko-19, haki za binadamu , usambazaji wa dawa za covid , vyote hivi havina tofauti sana na vitu anbavyo Rais Samia alizungumzia. Kongole kwake Rais Samia kwa kuonyesha kuwa Watanzania sio waoga na ni watu wanaojiamini. Kwanini Rais Samia mnataka kupangia kila kitu- azungumze hiki, afanye kile?Kuna haja ya kuambiana ukweli. Kama taifa UN hatukufurukuta.
Siyo siri, madhumuni ya mkutano ule ilikuwa ni kwa mataifa kuweka wazi sera zao za nje zenye kuelezea maingiliano baina ya nchi na nchi.
Mkutano ule haukuwa wakutafutia wawekezaji, kutangazia utalii wala kuhusiana na mambo ya ndani ya nchi.
Badala yake tukatumia muda kujielekeza kwenye mambo ya kijinsia. Kwani tulivisahau vyuma vilivyo tikisa dunia hii wakiwamo akina Angel Merkel, Thatcher, Indira Gandhi, Golda Meir, nk?
Usawa wa kijinsia katika mataifa nje ya Africa si agenda za kupeleka UN labda AU. Huko waungwana walikwisha toka zamani. Mama Clinton alikuwa achukue urais wa dunia na wala si kwa kudra za Mola.
Taarifa za Corona tulizosoma ni za WHO ambayo ni agency tanzu ya UN yenyewe.
Kwamba tuna ushauri kuhusu chanjo ya Corona ambayo aghalabu tungetaka hata copyright kwenye chanjo isiwepo wakati tunapewa bure?
Hatuna neno lolote kuhusu nyungu, maombi, mikaratusi, michai chai, malimao au hata na matango pori mengine?
Hatuna neno lolote kuhusiana vita vya kiuchumi hasa hasa mabeberu dhidi ya Tanzania?
Hatuna neno kumhusu beberu yeyote na upigaji wake kwenye chanjo, barakoa, PPE au kuhusu Corona kwa ujumla?!
Kwani dunia haikupata kutusikia na misimamo yetu na shujaa wetu wanayeshuku Corona haikumnusuru?
Kwani zile takwimu za ugonjwa wa Corona ambazo dunia imekuwa ikituasa kuzitoa tumewahi kuzitoa?
Tupitieni hotuba za wengine kulinganisha na ya kwetu.
Ama kwa hakika hatukufua dafu!
Ushindi ni Tanzania kushirikiana na mataifa mengine. Rais wa nchi kutokuwa na woga wa kujenga hoja na kuhutubia mataifa yenye nguvu za kiuchumi na kijeshi. Kusimama pale mbele - Umoja wa mataifa si kazi ndogo. Kuna Marais wengi wamegwaya kufika pale mbele- kuzungumza na kueleweka. Pale U.N. hupangiwi nini uzungumze, Tanzania sio Taifa kubwa. Nilimsikia Rais wa marekani akizungumzia uviko-19, haki za binadamu , usambazaji wa dawa za covid , vyote hivi havina tofauti sana na vitu anbavyo Rais Samia alizungumzia. Kongole kwake Rais Samia kwa kuonyesha kuwa Watanzania sio waoga na ni watu wanaojiamini. Kwanini Rais Samia mnataka kupangia kila kitu- azungumze hiki, afanye kile?
Change your mindset,Tanzania is not a shithole country,may be your mind has full of darkness,I welcome you to the light.Tanzania ilishapoteza ushawishi iliyokuwa nayo enzi hizo, siku hizi imebaki tu "One of those shithole countries with no any international influence famous only for human rights abuses".
Tulipwazwa na Sululu.Kuna haja ya kuambiana ukweli. Kama taifa UN hatukufurukuta.
Siyo siri, madhumuni ya mkutano ule ilikuwa ni kwa mataifa kuweka wazi sera zao za nje zenye kuelezea maingiliano baina ya nchi na nchi.
Mkutano ule haukuwa wakutafutia wawekezaji, kutangazia utalii wala kuhusiana na mambo ya ndani ya nchi.
Badala yake tukatumia muda kujielekeza kwenye mambo ya kijinsia. Kwani tulivisahau vyuma vilivyo tikisa dunia hii wakiwamo akina Angel Merkel, Thatcher, Indira Gandhi, Golda Meir, nk?
Usawa wa kijinsia katika mataifa nje ya Africa si agenda za kupeleka UN labda AU. Huko waungwana walikwisha toka zamani. Mama Clinton alikuwa achukue urais wa dunia na wala si kwa kudra za Mola.
Taarifa za Corona tulizosoma ni za WHO ambayo ni agency tanzu ya UN yenyewe.
Kwamba tuna ushauri kuhusu chanjo ya Corona ambayo aghalabu tungetaka hata copyright kwenye chanjo isiwepo wakati tunapewa bure?
Hatuna neno lolote kuhusu nyungu, maombi, mikaratusi, michai chai, malimao au hata na matango pori mengine?
Hatuna neno lolote kuhusiana vita vya kiuchumi hasa hasa mabeberu dhidi ya Tanzania?
Hatuna neno kumhusu beberu yeyote na upigaji wake kwenye chanjo, barakoa, PPE au kuhusu Corona kwa ujumla?!
Kwani dunia haikupata kutusikia na misimamo yetu na shujaa wetu wanayeshuku Corona haikumnusuru?
Kwani zile takwimu za ugonjwa wa Corona ambazo dunia imekuwa ikituasa kuzitoa tumewahi kuzitoa?
Tupitieni hotuba za wengine kulinganisha na ya kwetu.
Ama kwa hakika hatukufua dafu!
Kondom zenyewe hatuwezi ndio ije Chanjo ya UvikoHivi kuomba ruhusa ya kutengeneza VACCINE - COVID-19, tunajiona wajuaji sana nini?View attachment 1952505View attachment 1952506
Change your mindset,Tanzania is not a shithole country,may be your mind has full of darkness,I welcome you to the light.