Nimecheka kuona kihiyo wetu first lady eti naye anahutubia wake za wakuu wa nchi. Huu ni ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka. Salma anakwenda kule kuhutubia kama nani kama siyo kupigia debe kampuni yake yenye kutia kila aina ya shaka ya WAMA? Urais wa Tanzania umegeuka mali ya familia. Baba rais mke watoto hata waramba viatu wao na hata mbwa nao ni marais! Tusirudie kosa hili kuingia kwenye uchaguzi na katiba ya kipuuuzi kama hii huku tukishabikia sura za watu badala ya uwezo na usafi wao kutawala.