Umuhimu wa vyama vyingi.

Daata

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
4,762
Reaction score
2,069
Wakuu salamu zangu kwenu.
Wengi wetu tunafahamu kuwa Tanzania iliingia kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992 na kufanyika kwa uchaguzi mkuu ukishirikisha vingi mwaka 1995.

Kama ulivyo, changamoto nyingi mfumo wa chama kimoja pia wa vyama vingi haukosi changamoto.

Napenda tuelezane utaratibu wa vyama vingi umesaidia mambo yapi ya kimaedeleo ambayo mfumo wa chama kimoja ulishindwa ulishindwa.

Nimewasilisha kwenu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…