Umuhimu wa uwanja wa ndege wa kimataifa Chato

Ngamanya Kitangalala

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
501
Reaction score
1,214
Kumekuwa na upotoshwaji mkubwa kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato

Kwa nini uwanja wa ndege Chato????

Ukisoma ilani ya uchaguzi ya CCM mwaka 2015- 2020, imeelekeza ni lazima serikali ichukue hatua za makusudi kukuza sekta ya utalii nchini, ili ifikapo 2020, Tanzania iwe na uwezo wa kupokea watalii wasiopungua 2m kwa mwaka toka watalii 1.2m mwaka 2014, hasa ukizingatia Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa kuwa na vivutio vingi cha utalii baada ya Brazil

Na ni kwa nini utalii?

Sekta ya utalii Tanzania, ndio sekta inayoongoza katika kuingiza fedha nyingi za kigeni kuliko sekta yeyote ile hapa Tanzania( 25%) ya fedha zote za kigeni( foreign currency) zinatokana na utalii, mfano mwaka 2018/ 2019 sekta hiyo iliingizia taifa takribani $ 2.4 bilioni, pia sekta ya utalii nchini inachangia takribani 17.6% ya pato ghafi la taifa(GDP), pia sekta ya utalii imetoa ajira za moja kwa moja takribani watu elfu sita na ajira zisizo za moja kwa moja takribani watu milioni mbili

Sasa kwa Tanzania ukanda pekee unaofanya vizuri katika utalii ni ukanda wa kaskazini, ambapo unaopokea watalii wengi kuliko kanda zingine za Kusini na Kanda ya Kaskazini magharibi, takribani 90% ya watalii wote wanaoingia hapa nchini wanaelekea ukanda wa Kaskazin

Sasa ili kufikia malengo ya kuongeza idadi ya watalii, serikali waliamua kufungua baadhi ya kanda zingine za za utalii, kanda hizo ni Kanda ya Kusini( mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe,Songwe) ambapo Kitulo ilipandishwa hadhi na kuwa hifadhi ya Kitulo, na kanda ya Kaskazini magharibi yenye mikoa ya ( Geita, Mwanza, Kagera, Kigoma)

Serikali walifanya nini kwa kanda ya Kaskazini magharibi?

Hatua ya kwanza waliofanya, kwanza ni kuyapandisha hadhi mapori tengefu ya Burigi, Biharamulo, Kimisi , Rumanyika & Kyerwa na kuwa hifadhi za taifa( National parks) Burigi- Chato, Rumanyika-Karagwe & Kyerwa

Sasa ili kuweza kuvutia watalii waweze kufika Kwan urahisi katika hifadhi hizo, serikali waliona ipo haja ya kujenga uwanja mkubwa wa kinataifa wa ndege katibu na maeneo hayo, ambapo watalii wataweza kufika kwa urahisi zaidi kuliko ilivyo sasakatika hifadhi hizo ambapo kuna hifadhi ya tatu kwa ukubwa hapa nchini( Burigi- Chato)baada ya Serengeti na Sellou

Kwa hiyo kwa kuzingatia umuhimu wa kukuza sekta ya utalii nchini, ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato una manufaa makubwa katika uchumi wetu
 
Wauza madawa ya kulevya wa ufipa wana nongwa sana na CHATO
 
Hata mabutu walimwunga mkono

Tunashukuru kwa haya maelezo marefu, ni hivi, anajipendelea fullstop.
 
Acheni kutufanya Watanzania wajinga nyie wahuni. Bunge lilitenga 2 billions tu kwanini zikatumike zaidi ya 50 billions bila idhini ya Bunge!? Kwanini mnaficha gharama halisi ya ujenzi!? Kwanini huyo nduli anamgomea CAG Assad asikague gharama husika za ujenzi!? KULIKONI!? Ni kipi kinachofichwa!? Na huyo kandarasi alishindaje hiyo zabuni?

Baada Ya uwanja wa ndege sasa kuna uwanja wa mpira wa kimataifa unajengwa chato
Ni wa Pili kwa ukubwa Tanzania
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Baada ya miaka kadhaa
IMG_20190709_213417.jpeg
 
Ujenzi wa uwanja huo ujenge sambamba na uwanja Wa mpila wa kimataifa ili kuikuza Chato iwe kama Roma ifikapo 2020
 
Nadhani umeandika tu bila uelewa wa kutosha. Tatizo la utalii Tanzania halijawahi kua ukosekanaji wa viwanja vya ndege hata siku moja. Changamoto kubwa ni utafutaji masoko (marketing) hata utengeneze kiwanja kama cha JF Kenedy pale Chato hakiwezi kuvutia watalii Burigi.

Hifadhi za kaskazini zinapata wageni kwasababu zinajiuza, asilimia kubwa zinajitangaza kutokana na upekee wake.
Nani asiyeijua Serengeti dunia hii?? Nani asiyeijua Ngorongoro?, nani asiyeijua kilimanjaro??

Hizi zilizobaki kaskazini zina take advantage ya kufahamika kwa hizi ambazo zipo kwenye wonders za dunia.

Watu wanatua Kenya na wanakuja Serengeti, ngorongoro nk.

Nikwambie tu, na hata kama una watu wa karibu ambao wamebahatika kwenda hizi nchi za wenzetu, Serengeti inafahamika kuliko nchi yako. Yani unakutana na mtu unamuuliza Serengeti anakwambia anafahamu, lakini muulize ipo nchi gani hajui. Hii inakupa picha gani???

Acheni kuaminishwa vitu kisiasa.

Tupeane muda tutakuja ongea lugha moja tu hapa.
Kumekuwa na upotoshwaji mkubwa kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato

Kwa nini uwanja wa ndege Chato????

Ukisoma ilani ya uchaguzi ya CCM mwaka 2015- 2020, imeelekeza ni lazima serikali ichukue hatua za makusudi kukuza sekta ya utalii nchini, ili ifikapo 2020, Tanzania iwe na uwezo wa kupokea watalii wasiopungua 2m kwa mwaka toka watalii 1.2m mwaka 2014, hasa ukizingatia Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa kuwa na vivutio vingi cha utalii baada ya Brazil

Na ni kwa nini utalii?

Sekta ya utalii Tanzania, ndio sekta inayoongoza katika kuingiza fedha nyingi za kigeni kuliko sekta yeyote ile hapa Tanzania( 25%) ya fedha zote za kigeni( foreign currency) zinatokana na utalii, mfano mwaka 2018/ 2019 sekta hiyo iliingizia taifa takribani $ 2.4 bilioni, pia sekta ya utalii nchini inachangia takribani 17.6% ya pato ghafi la taifa(GDP), pia sekta ya utalii imetoa ajira za moja kwa moja takribani watu elfu sita na ajira zisizo za moja kwa moja takribani watu milioni mbili

Sasa kwa Tanzania ukanda pekee unaofanya vizuri katika utalii ni ukanda wa kaskazini, ambapo unaopokea watalii wengi kuliko kanda zingine za Kusini na Kanda ya Kaskazini magharibi, takribani 90% ya watalii wote wanaoingia hapa nchini wanaelekea ukanda wa Kaskazin

Sasa ili kufikia malengo ya kuongeza idadi ya watalii, serikali waliamua kufungua baadhi ya kanda zingine za za utalii, kanda hizo ni Kanda ya Kusini( mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe,Songwe) ambapo Kitulo ilipandishwa hadhi na kuwa hifadhi ya Kitulo, na kanda ya Kaskazini magharibi yenye mikoa ya ( Geita, Mwanza, Kagera, Kigoma)

Serikali walifanya nini kwa kanda ya Kaskazini magharibi?

Hatua ya kwanza waliofanya, kwanza ni kuyapandisha hadhi mapori tengefu ya Burigi, Biharamulo, Kimisi , Rumanyika & Kyerwa na kuwa hifadhi za taifa( National parks) Burigi- Chato, Rumanyika-Karagwe & Kyerwa

Sasa ili kuweza kuvutia watalii waweze kufika Kwan urahisi katika hifadhi hizo, serikali waliona ipo haja ya kujenga uwanja mkubwa wa kinataifa wa ndege katibu na maeneo hayo, ambapo watalii wataweza kufika kwa urahisi zaidi kuliko ilivyo sasakatika hifadhi hizo ambapo kuna hifadhi ya tatu kwa ukubwa hapa nchini( Burigi- Chato)baada ya Serengeti na Sellou

Kwa hiyo kwa kuzingatia umuhimu wa kukuza sekta ya utalii nchini, ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato una manufaa makubwa katika uchumi wetu
 
Acheni porojo huo uwanja hauna mantik yoyote kwanini wasingeboresha uwanja wa bukoba ambao unakariana na sehem tajwa pia connection na majiranii siasa
 
Back
Top Bottom