Huwa sifanyi update ya software bila kusoma review za wengine.
Unaweza update software, ndio watakuwa wamefix some bugs lakini ukakuta ma UI ya ajabu ajabu tu.
Non fascinating view.
mfano mimi nilikelwa sana na kitendo cha Firefox kucopy cat UI ya Chrome kwenye Ff 29 >>