comte JF-Expert Member Dec 11, 2011 8,228 5,950 Sep 22, 2020 #21 niggarz upbaganika said: Now, please educate me. Who should organize a debate for our presidential candidates??! Click to expand... Presidential Debates: Who Makes the Rules? | The Reeves Law Group
niggarz upbaganika said: Now, please educate me. Who should organize a debate for our presidential candidates??! Click to expand... Presidential Debates: Who Makes the Rules? | The Reeves Law Group
B bagamoyo JF-Expert Member Jan 14, 2010 21,323 24,230 Sep 22, 2020 #22 Mdahalo muhimu sana, naona wananchi wa Arusha wao wameamua mdahalo uwepo hata ngazi ya kata yaani udiwani kama hapa ndani ya video hii hapa chini
Mdahalo muhimu sana, naona wananchi wa Arusha wao wameamua mdahalo uwepo hata ngazi ya kata yaani udiwani kama hapa ndani ya video hii hapa chini
comte JF-Expert Member Dec 11, 2011 8,228 5,950 Sep 22, 2020 #23 bagamoyo said: Mdahalo muhimu sana, naona wananchi wa Arusha wao wameamua mdahalo uwepo hata ngazi ya kata yaani udiwani kama hapa ndani ya video hii hapa chini Click to expand... wameamua siyo wameamuliwa- UMEONA EE
bagamoyo said: Mdahalo muhimu sana, naona wananchi wa Arusha wao wameamua mdahalo uwepo hata ngazi ya kata yaani udiwani kama hapa ndani ya video hii hapa chini Click to expand... wameamua siyo wameamuliwa- UMEONA EE
nyembela JF-Expert Member Jan 9, 2020 412 523 Sep 22, 2020 #24 pilipili kichaa said: Kweli Lissu ni noooma! kama ndivyo basi machinga wote warudishiwe 20,000/= zao. Click to expand... Hapa anazidi kumpaisha Lisu Kila hoja anayojibu anamuongezea kura Lisu, kaanza nakwenye hoja yamajimbo Lisu naye anaichambua nakutoa Mifano sijui nayo Kama itamwacha salama.
pilipili kichaa said: Kweli Lissu ni noooma! kama ndivyo basi machinga wote warudishiwe 20,000/= zao. Click to expand... Hapa anazidi kumpaisha Lisu Kila hoja anayojibu anamuongezea kura Lisu, kaanza nakwenye hoja yamajimbo Lisu naye anaichambua nakutoa Mifano sijui nayo Kama itamwacha salama.
A Anonymeous JF-Expert Member Nov 24, 2019 275 484 Sep 22, 2020 #25 Kama mzee baba hataki uandaliwe wa Wagombea wengine kama Lissu na Lipumba na Mama Samia kwa niaba, kisha wamwage sera ni platform nzur san ya kuomba kura
Kama mzee baba hataki uandaliwe wa Wagombea wengine kama Lissu na Lipumba na Mama Samia kwa niaba, kisha wamwage sera ni platform nzur san ya kuomba kura
B bagamoyo JF-Expert Member Jan 14, 2010 21,323 24,230 Sep 22, 2020 #26 comte said: wameamua siyo wameamuliwa- UMEONA EE Click to expand... Wamesukumwa na hoja za wananchi kutaka kuwafahamu vizuri wagombea na pia sera za vyama vyao kupitia mdahalo. Hivyo wanasiasa mbele ya wananchi lazima wasiwe wagumu wenye ukaidi kukimbia mdahalo.
comte said: wameamua siyo wameamuliwa- UMEONA EE Click to expand... Wamesukumwa na hoja za wananchi kutaka kuwafahamu vizuri wagombea na pia sera za vyama vyao kupitia mdahalo. Hivyo wanasiasa mbele ya wananchi lazima wasiwe wagumu wenye ukaidi kukimbia mdahalo.
comte JF-Expert Member Dec 11, 2011 8,228 5,950 Sep 22, 2020 #27 bagamoyo said: Wamesukumwa na hoja za wananchi kutaka kuwafahamu vizuri wagombea na pia sera za vyama vyao kupitia mdahalo. Hivyo wanasiasa mbele ya wananchi lazima wasiwe wagumu wenye ukaidi kukimbia mdahalo. Click to expand... Mkuu kama hamna imani na tume ya uchaguzi- huo mdahalo mnauendeshaje na kwa gharama ya nani? na kwa nini sasa?
bagamoyo said: Wamesukumwa na hoja za wananchi kutaka kuwafahamu vizuri wagombea na pia sera za vyama vyao kupitia mdahalo. Hivyo wanasiasa mbele ya wananchi lazima wasiwe wagumu wenye ukaidi kukimbia mdahalo. Click to expand... Mkuu kama hamna imani na tume ya uchaguzi- huo mdahalo mnauendeshaje na kwa gharama ya nani? na kwa nini sasa?
Tindo JF-Expert Member Sep 28, 2011 59,041 103,473 Sep 22, 2020 #28 fazili said: Ni vizuri mdahalo lakini jiwe kamwe hatokubali kuumbuka mchana kweupe kwenye mdahalo huo. Click to expand... Ni kweli kabisa, hakuna tapeli anayetaka mdahalo..
fazili said: Ni vizuri mdahalo lakini jiwe kamwe hatokubali kuumbuka mchana kweupe kwenye mdahalo huo. Click to expand... Ni kweli kabisa, hakuna tapeli anayetaka mdahalo..
B bagamoyo JF-Expert Member Jan 14, 2010 21,323 24,230 Sep 22, 2020 #29 Part 2 : 2020 MDAHALO KATI YA WAGOMBEA UDIWANI CHADEMA VS CCM : KATA ZA HUKO ARUSHA