Umuhimu wa kuwa na lipa namba

Umuhimu wa kuwa na lipa namba

iamthomas

Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
65
Reaction score
52
Lipa namba ipo kwaajili ya kumpa Nafuu Mfanyabiashara, Mteja akija kwako analipa Gharama ndogo lakini pia ww ukienda kutoa pesa unatoa Gharama ndogo na kama pesa ipo chini ya laki tano unayotoa haukatwi, na upande wa Voda hamna makato kwa kiwango chochote unachotoa,, hii inafaa wale wanaofanya biashara online

Lakini pia Mawakala huitumia kujitengenezea Faida kwa sababu ina makato madogo ya kutoa ivo mteja akija kutoa kwake anapata Faida ya 1000 au 1500 muamala mmoja hii inakua na faida kuliko commission, kama ushawahi kutoa kwa njia ya lipa kwa wakala kama ulikua unataka kutoa 4000 atakuambia andika 5000 asa ile buku ndo yake ivo lakini pia mteja anakua kapata nafuu ya makato somehow.

Mwenye Cha kuongeza aongeze Uwanja Upo wazi

Unaweza npigia nkutengenezee lipa ya Airtel cha muhimu uwe na laini ya Airtel na 10,000 Na inalipa Mitandao yote.

Contact: 0743546090
 
Lipa namba ipo kwaajili ya kumpa Nafuu Mfanyabiashara, Mteja akija kwako analipa Gharama ndogo lakini pia ww ukienda kutoa pesa unatoa Gharama ndogo na kama pesa ipo chini ya laki tano unayotoa haukatwi

Lakini pia Mawakala huitumia kujitengenezea Faida kwa sababu ina makato madogo ya kutoa ivo mteja akija kutoa kwake anapata Faida ya 1000 au 1500 muamala mmoja hii inakua na faida kuliko commission, kama ushawahi kutoa kwa njia ya lipa kwa wakala kama ulikua unataka kutoa 4000 atakuambia andika 5000 asa ile buku ndo yake ivo lakini pia mteja anakua kapata nafuu ya makato somehow.

Mwenye Cha kuongeza aongeze Uwanja Upo wazi

Unaweza npigia nkutengenezee lipa ya Airtel cha muhimu uwe na laini ya Airtel na 10,000 Na inalipa Mitandao yote.

Contact: 0743546090
Lipa namba ya voda je naipata kwako
 
Habara Mwana JF,

Natengeneza Lipa namba ya Vodacom Pamoja na Airtel.

Piga 0654506090 kwa Maelezo zaidi.
 
Ni huduma Safi, badala nimeigundua muda c mrefu sema mawakala wengine wanaogopa ilihali wameweka huduma hii, sijui kwanini
 
Lipa namba ipo kwaajili ya kumpa Nafuu Mfanyabiashara, Mteja akija kwako analipa Gharama ndogo lakini pia ww ukienda kutoa pesa unatoa Gharama ndogo na kama pesa ipo chini ya laki tano unayotoa haukatwi, na upande wa Voda hamna makato kwa kiwango chochote unachotoa,, hii inafaa wale wanaofanya biashara online

Lakini pia Mawakala huitumia kujitengenezea Faida kwa sababu ina makato madogo ya kutoa ivo mteja akija kutoa kwake anapata Faida ya 1000 au 1500 muamala mmoja hii inakua na faida kuliko commission, kama ushawahi kutoa kwa njia ya lipa kwa wakala kama ulikua unataka kutoa 4000 atakuambia andika 5000 asa ile buku ndo yake ivo lakini pia mteja anakua kapata nafuu ya makato somehow.

Mwenye Cha kuongeza aongeze Uwanja Upo wazi

Unaweza npigia nkutengenezee lipa ya Airtel cha muhimu uwe na laini ya Airtel na 10,000 Na inalipa Mitandao yote.

Contact: 0743546090
Boss sharti uwe na line ya airtel tu?
Na inachukua muda gani kuwa verified
 
Si kweli hata kidogo kwani ninayo na nimeacha kuitumia ,ni hasara.
 
Kuna Changamoto ipo Airtel muda mrefu tu na ukiuuliza wanasema bado wanashughulikia,, bila shaka ni swala la kwamba wakati wa kutoa unakuta mtu bado anakatwa makato,, apo niwatoe wasi wasi ata ww mwenyewe Kwa sababu Lipa ya Airtel imeingia sokoni ina Mwezi na Wiki Sasa naweza Kusema kuna Baadhi ya System zao hazijakaa sawa na ata wao ilo ndo jibu wanalotoa,, na kwa uzoefu wangu nakumbuka wakati tigo inaanza ilianza hivi hivi asa siwezi kusema kwamba iyo laini ni hasara tu.
 
Hii Changamoto ishakua Solved
 
Back
Top Bottom