Umuhimu wa kuwa na kazi

Umuhimu wa kuwa na kazi

Thanda

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,915
Reaction score
596
Ni kazi kupata kazi, na ukiona ni kazi kufanya kazi, basi acha kufanya kazi uone kazi ya kukaa bila kazi ilivyo kazi kuliko kazi yenyewe inayoweza kubadili maisha yako ya kazi

source: facebook
 
Hilo ni la kweli wote tunasota kwa kukosa kaz kazi yangu ilikuwa ya hatari sana nilivamiwa na majambaz mara nne inaniuma
 
sio kazi kupata kazi na pia kufanya kazi ambayo malipo ya kazi ni kazi kupata na ni kazi kupima tija ya kazi so ni bora kutokuwa na kazi ufanye kazi kupata kazi bora na sio bora kazi.
 
sio kazi kupata kazi na pia kufanya kazi ambayo malipo ya kazi ni kazi kupata na ni kazi kupima tija ya kazi so ni bora kutokuwa na kazi ufanye kazi kupata kazi bora na sio bora kazi.

Salute Mkuu.Unajua jamaa anataka kuleta mambo ya zamani.
Eti kila Mzungu Padri wengine Wapelelezi.
 
Back
Top Bottom