Ahsante kwa wazo mkuu.......umeniongezea kituaaaah imani tu hapo...ukiamini kua ukiacha kwenda mambo yako hayatoenda bhas jua itakua ivyo..ila ukiwa kama mimi don care mambo yako yanaenda vizuri tu..angalia imani yako tu inakusukuma ufanye nini mkuuu.
Madhara au Faida hamna mtu ataekuja kuthibitisha hapa 100% kua kuna madhara au faida,ndio mana hata usiku wakat wa kulala au wakat wa kula kuna wanaoamini bila kuomba kumshukuru mungu Si vizuri na kuna wasio amini lkn wote mambo yanaenda na maisha yanasonga.
Angalia imani yako mkuuu.
Lakin watu wengi wamethibitisha kuendelea kwa pirika pirika za watu walokufa hapa duniani.....nafsi zaoMkuu maandiko yanatuambia mtu akifariki, uyo ndio kashaondoka hivyo na kafunga hesabu, hakuna ata kivuli atakacho kiacha nyuma wala hakuna mambo ya spiritual hapo au mizimu sijui.
Mmmhh sawa mkuu....lkn ushujaa wake pindi alipokua duniani unakusaidia nn wewe pindi huyo aliyekuwa shujaa wakat WA uhai wake anapokua amekufa.Faida ipo, vp ushajiuliza sababu inayotufanya tuwakumbuke waliotutangulia kwa maombi??
Mara nyingine ndugu waliotutangulia yawezekana ndiyo walikuwa mashujaa wetu; sasa kwa nn tusitembelee mahali tulipo wapumzisha?
Kutembelea makaburi siyo vibaya japo usihusishe na changamoto unazopitia.
Hata hivyo kuna relief utapata, tembelea ukafanye na usafi kabisa....
Nice one.......pia Ni wazo zur mkuu....ahsantekutembelea ni muhimu japo kwakutofanya ivyo sio sababu ya kupata mikosi na wali kwakufanya ivyo sio sababu ya kuwa na ustawi maishani.MUNGU alimuumba mwanadamu na kumpa thamani na daraja la juu na hata waliolala makaburini MUNGU anawathamini pia maana ndiye aliyetoa na kutwaa. wao kuwa makaburini haina maana kuwa thamani yao ndio imeisha kabisa.
Ameen......sawa mtumishi WA bwanaMpe Yesu maisha no misukosuko anymore.Hachana na habari za ibada za wafu huo ni.ushetani maana unataka kujilisha upepo kwamba ukitembelea makaburi ndio misukosuko itaisha hiyo ni ibada ya wafu.
Ukiokoka tu kila kitu kitakaa sawa kwenye tatizo Yesu atakutetea na zaidi ya yote utaupata uzima wa milele.
pamoja sanaNice one.......pia Ni wazo zur mkuu....ahsante
Siamini km kweli ww ni msomaji wa biblia,sio kwa kanisani bali hata ww kitenga muda kuisoma.Faida ipo, vp ushajiuliza sababu inayotufanya tuwakumbuke waliotutangulia kwa maombi??
Mara nyingine ndugu waliotutangulia yawezekana ndiyo walikuwa mashujaa wetu; sasa kwa nn tusitembelee mahali tulipo wapumzisha?
Kutembelea makaburi siyo vibaya japo usihusishe na changamoto unazopitia.
Hata hivyo kuna relief utapata, tembelea ukafanye na usafi kabisa....
Ni ibada ya umizimuHakuna uhusiano ila na wewe uwe una enda hata Mara moja kwa mwaka kusafisha kabuli LA mzee wako ebo
Hakuna umuhimu wowote ,mtu akifa hajui kitu chochoteUmuhimu upo tena mkubwa tu.
Unamuombeaje mfu? Hizo ni ibada za umizimu, au wafu ni MACHUKIZO KWA MUNGU,Faida ipo, vp ushajiuliza sababu inayotufanya tuwakumbuke waliotutangulia kwa maombi??