YoungAge.org
Member
- Aug 10, 2012
- 46
- 12
Kwa namna unavyosoma maoni na michango hapa JF, unadhani wachangiaji wengi ni wenye umri kati ya miaka mingapi?
Kama wewe nahisi umri wako ni kati ya miaka 16 mpaka 18.Kwa namna unavyosoma maoni na michango hapa JF, unadhani wachangiaji wengi ni wenye umri kati ya miaka mingapi?
Wote ni over 18 kasoro wewe kama avatar yako inavyo jieleza.
sababu hapa siyo chekechea.Kama ni kweli, unadhani kwa nini JF haina mvuto kwa vijana chini ya umri huo?
Unaweza kutuambia kitu kilichofanya ujiunge na jf?Kama ni kweli, unadhani kwa nini JF haina mvuto kwa vijana chini ya umri huo?
Narudi sasa hivi ngoja niwahi foleni ya kununua pampas.
sababu hapa siyo chekechea.
Unaweza kutuambia kitu kilichofanya ujiunge na jf?
Kwa namna unavyosoma maoni na michango hapa JF, unadhani wachangiaji wengi ni wenye umri kati ya miaka mingapi?
Naona wapiga ramli mshafika hadi humu. Au ndio sensa imeanza. Mi natoka kidogo!!
kwa majibu kama haya naona wengi ni 25-35
endeleeni kunisaidia
Ucpate shida kujua umri wangu, we muulize mkeo anajua!
Narudi sasa hivi ngoja niwahi foleni ya kununua pampas.
Za wazee au kwa ajili ya wajukuu zako?