Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,636
Reaction score
81,533
Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia.

Ukimkuta MTU ambaye yupo ghorofa ya tano anakuwa amekomaa Sana akili na hisia anakuwa na EI kubwa na IQ kubwa.

Miaka hamsini ni umri wa unaokuja na hekima Sana .

Hii unaweza kuona kupitia familia ,marfiki na wewe mwenyewe ikiwa umeshafika hapa ghorofa ya tano.

We need to Cherish every-single moment. But fifties is blessing Age.

Na ukifika 50 avoid mambo yote yanayoweza kuharibu akili na Afya ya mwili.
 
Mkuu wewe ni miongoni mwa watu ambao nafata sana protocol zako na naamini ntakuja kufanikiwa not financially ila kiakili tuu takua sana mkuu..

Ukweli ulichokiongea ni mesoma ila nimekaa na kujiuliza huo umri ni umri ambao ni vema ukawa tayari ushakamilisha kila kitu cha msingi maana baada ya hapo hata energy haiwi tena kama ya ujana

Ila naomba mungu pia katika umri huo niwe nina NYUMBA, GARI NA WATOTO WATATU .....

Lakini kwa upande wa wazazi itajulikana huko huko
 
Kuna maono na mafunzo mtu huweza kutoa kutokana na kuishi na kuona mengi. Ila haimaanishi mtu utakuwa na hekima ama busara kama hajawahi kuwa navyo. Hii si kwa ajili ya kuondoa ulichokisema kwa wazee ila kiuhalisia hata wazee wakikwama huwa kuna wazee wenzao wanaowakimbilia hii ikimaanisha

Kuna vijana huzeeka na ubora wao na kuna vijana huzeeka na upumbavu wao. Japo wote huweza kufundisha kitu flani kww vijana
 
Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia.

Ukimkuta MTU ambaye yupo ghorofa ya tano anakuwa amekomaa Sana akili na hisia anakuwa na EI kubwa na IQ kubwa.

Miaka hamsini ni umri wa unaokuja na hekima Sana .

Hii unaweza kuona kupitia familia ,marfiki na wewe mwenyewe ikiwa umeshafika hapa ghorofa ya tano.

We need to Cherish every-single moment. But fifties is blessing Age.

Na ukifika 50 avoid mambo yote yanayoweza kuharibu akili na Afya ya mwili.
Nafikiri kikubwa huwa ni experience ambayo inaweza kuchochea EI kubwa ila kwenye IQ kama ulikuwa nayo low in your 30,s and 40,s itaendelea kuwa hivyo hivyo.

Also kulingana na takwimu, kwa Tanzania in your 50's unajiandaa kuelekea kwenye kifo, over 70% ya watu wanakufa between the age of 50 na 69.
 
hahhaah wewe ndo hao 50 wa hovyo

ujirekebishe sasa
Mkuu wewe ni miongoni mwa watu ambao nafata sana protocol zako na naamini ntakuja kufanikiwa not financially ila kiakili tuu takua sana mkuu..

Ukweli ulichokiongea ni mesoma ila nimekaa na kujiuliza huo umri ni umri ambao ni vema ukawa tayari ushakamilisha kila kitu cha msingi maana baada ya hapo hata energy haiwi tena kama ya ujana

Ila naomba mungu pia katika umri huo niwe nina NYUMBA, GARI NA WATOTO WATATU .....

Lakini kwa upande wa wazazi itajulikana huko huko
 
Mkuu wewe ni miongoni mwa watu ambao nafata sana protocol zako na naamini ntakuja kufanikiwa not financially ila kiakili tuu takua sana mkuu..

Ukweli ulichokiongea ni mesoma ila nimekaa na kujiuliza huo umri ni umri ambao ni vema ukawa tayari ushakamilisha kila kitu cha msingi maana baada ya hapo hata energy haiwi tena kama ya ujana

Ila naomba mungu pia katika umri huo niwe nina NYUMBA, GARI NA WATOTO WATATU .....

Lakini kwa upande wa wazazi itajulikana huko huko
UACHE MAMBO YA YAKUZ ukizeeka 😀
 
Nafikiri kikubwa huwa ni experience ambayo inaweza kuchochea EI kubwa ila kwenye IQ kama ulikuwa nayo low in your 30,s and 40,s itaendelea kuwa hivyo hivyo.

Also kulingana na takwimu, kwa Tanzania in your 50's unajiandaa kuelekea kwenye kifo, over 70% ya watu wanakufa between the age of 50 na 69.
afya ya akili na mwili ni muhimu haijalishi mtu yuko na umri gani.
 
Back
Top Bottom