tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,145
Habari zenu wakuu!!
Kwa muda sasa nimekuwa nikifutilia kuhusu mwanzo wa ulimwengu kwa maana ya sayari, mwezi/miezi, Nyota, jua pia Big bang na kinachoitwa Black Hole!!
Katika kufatilia huku nimekuja kupata mkanganyiko kwa namna biblia inavyoelezea vizazi toka kuumbwa kwa Adam ambapo hata miaka 10,000 haifiki!! Upande wa pili ukiwafatilia wanasayansi ni kwamba kilichoanza ni Big bang(miaka 13.7bilion iliyopita), zikafuatia nyota na baadaye sayari yetu dunia(miaka 4.6 bilion iliyopita).
Je kwanini kuna tofauti kubwa sana kati ya kinachoitwa kitabu kitakatifu na sayansi ya ulimwengu, ni waandika biblia walidanganya au wanasayansi wanadanganya? Vipi kuhusu mabaki ya Dinosaurs yaliyogunduliwa na utafiti kuonesha hawa viumbe waliishi zaidi ya miaka 200, million iliyopita?
nliwahi kusikia siku za nyuma kwenye bbc idhaa ya kiswahili kuwa ulimwengu una miaka bilion 20 na dunia ina miaka bilion 4 (kama ulivosema) na hao dinasours waliishi miaka milon 65 iliyopita...sasa hapo vinazidi kuchanganya zaidi
Habari zenu wakuu!!
Kwa muda sasa nimekuwa nikifutilia kuhusu mwanzo wa ulimwengu kwa maana ya sayari, mwezi/miezi, Nyota, jua pia Big bang na kinachoitwa Black Hole!!
Katika kufatilia huku nimekuja kupata mkanganyiko kwa namna biblia inavyoelezea vizazi toka kuumbwa kwa Adam ambapo hata miaka 10,000 haifiki!! Upande wa pili ukiwafatilia wanasayansi ni kwamba kilichoanza ni Big bang(miaka 13.7bilion iliyopita), zikafuatia nyota na baadaye sayari yetu dunia(miaka 4.6 bilion iliyopita).
Je kwanini kuna tofauti kubwa sana kati ya kinachoitwa kitabu kitakatifu na sayansi ya ulimwengu, ni waandika biblia walidanganya au wanasayansi wanadanganya? Vipi kuhusu mabaki ya Dinosaurs yaliyogunduliwa na utafiti kuonesha hawa viumbe waliishi zaidi ya miaka 200 million iliyopita?
Mbona umehusianisha vitu viwili tofauti halafu unachanganyikiwa?
-- Unazungumzia kuumbwa kwa mwanandamu (ktk biblia).
-- halafu unazungumzia kuhusu universe tokea big bang na solar system (kisayansi).
sasa kuna tatizo gani huyu mwanadamu kuumbwa miaka isiyozidi hata laki na akaja kukaa kwenye sayari yenye umri wa miaka zaidi ya bilioni nne?
Kwanini unachanganyikiwa?
Sayansi na Biblia kipi kilianza?
Unaweza kujua mwanzo wa kilichoandikwa kwenye biblia?
Biblia iko clear ktk hili. Tangu kuumbwa dunia hadi gharika-Nuhu ni miaka 2000, gharika Hadi Yesu kuzaliwa ni miaka 2000, Tangu Yesu Hadi sasa ni miaka 2014. Hivyo ni dhahiri dunia ina miaka 6014, wanasayansi hawana ushahidi wa madai yao zaidi ya carbon 14 ambayo ni uongo mtupu. Isitoshe sayansi ya dunia kwa % kubwa imejaa dhana potofu dhidi ya Mungu maana ibilisi ndiye kashika hatamu ya mifumo yote ya elimu.
umri Wa dunia sijui lakini viumbe hai hasa wanadamu walikuepo kama miaka 6,000 (elfu sita )
kasome mwanzo 1na 2 vizuri. dunia iliumbwa zamani sana siku ya kwanza mungu alifanya kazi ya kutenganisha nuru na giza tu. hivyo ni kweli dunia inaweza kuwa na miaka billioni 10. na wala bible haijichanganyi na sayansi.
Habari zenu wakuu!!
Kwa muda sasa nimekuwa nikifutilia kuhusu mwanzo wa ulimwengu kwa maana ya sayari, mwezi/miezi, Nyota, jua pia Big bang na kinachoitwa Black Hole!!
Katika kufatilia huku nimekuja kupata mkanganyiko kwa namna biblia inavyoelezea vizazi toka kuumbwa Dunia na vilivyomo pamoja na Adam ambapo hata miaka 10,000 haifiki!! Upande wa pili ukiwafatilia wanasayansi ni kwamba kilichoanza ni Big bang(miaka 13.7bilion iliyopita), zikafuatia nyota na baadaye sayari yetu dunia(miaka 4.6 bilion iliyopita).