Kwa nini wewe ukaweka ilihali unajua huna taarifa kamili? acha kuwakashfu watu bila sababu. ingefaa ungeuliza mwenye kujua umri na historia ya mtajwa mpaka anaacha jeshi
La kuumwa ugonjwa wa akili ni kweli kabisa....
Kwani ugonjwa wa akili hauponagi?
Wanaotaka uongozi mpya wa uvccm uondoke madarakani wamekuja na hoja kuwa umri wa mwenyekiti wao ni zaidi ya miak 33 sasa, ameongopa katika elimu yake kuwa ana master's na vile vile alishawahi kuumwa ugonjwa wa akili akiwa jeshini hali iliyofanya apumzishwe kwa manufa ya umma, tafadhali mwenye taarifa sahihi juu ya hayo atuwekee kwa ufafanuzi zaidi
unapona ila una tendency ya kujirudiarudia kila baada ya muda!
Yule makamu ni noma mtoto wa mjini hatari na ni chakula ya kila mtu,anatembea na hirizi adi kwenye meno chezea watoto wa Tanga
Mie sidhani hilo la kuumwa akili lina tatizo maana hao waliompigia kura na kumchagua hiyo mgonjwa wa akili ndiyo wana matatizo makubwa ya kiakili. Wote ni wagonjwa tu, mgonjwa kuwaongoza wagonjwa wenzake.
Tena E. Nchimbi anammega yeye pamoja na Maza wake.Halafu nasikia yule makamu wake ni chakula cha beno, beno ndiye alimpigia chepuo hadi akachaguliwa
Yaani huyo mdada eti amepita kutokana na kutoa rushwa ya ngono hata shigela ne pia anammega.
dada noma kweli yaani kawachanganya wot 2.
safi sana mdada ure fighter, umeweza tumia vizuri kiungo ulichopewa bure na Mungu
Yan ni mchawi huyo Mboni hadi Sumbawanga kafika. Ana roho mbaya na pengine hata uwezo wa kuua anao.Yule makamu ni noma mtoto wa mjini hatari na ni chakula ya kila mtu,anatembea na hirizi adi kwenye meno chezea watoto wa Tanga