wanaotaka uongozi mpya wa uvccm uondoke madarakani wamekuja na hoja kuwa umri wa mwenyekiti wao ni zaidi ya miak 33 sasa, ameongopa katika elimu yake kuwa ana master's na vile vile alishawahi kuumwa ugonjwa wa akili akiwa jeshini hali iliyofanya apumzishwe kwa manufa ya umma, tafadhali mwenye taarifa sahihi juu ya hayo atuwekee kwa ufafanuzi zaidi
........unafiki kama wako ndio unaotumaliza, hata hivyo mimi sina shaka na lowassa ni mpiganaji, akiongea, ni sounding voice, pamoja na kwamba amewachagua akina Kilimba wale wa Iramba wasiojua mbele wala nyuma yeye bado ana nafasi kwangu..... BRAVO ELN, ni wewe wa kutuokoa, pamoja na kwamba utahitaji kurudisha gharama zako za kuhonga ufanikiwe, ni bora, mbona tulienaye mambo ni yale yale !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kwa nini wewe ukaweka ilihali unajua huna taarifa kamili? acha kuwakashfu watu bila sababu. ingefaa ungeuliza mwenye kujua umri na historia ya mtajwa mpaka anaacha jeshi
Wewe lazima uwe mwathirika wa ushindi wake. Si bure.wanaotaka uongozi mpya wa uvccm uondoke madarakani wamekuja na hoja kuwa umri wa mwenyekiti wao ni zaidi ya miak 33 sasa, ameongopa katika elimu yake kuwa ana master's na vile vile alishawahi kuumwa ugonjwa wa akili akiwa jeshini hali iliyofanya apumzishwe kwa manufa ya umma, tafadhali mwenye taarifa sahihi juu ya hayo atuwekee kwa ufafanuzi zaidi
........unafiki kama wako ndio unaotumaliza, hata hivyo mimi sina shaka na lowassa ni mpiganaji, akiongea, ni sounding voice, pamoja na kwamba amewachagua akina Kilimba wale wa Iramba wasiojua mbele wala nyuma yeye bado ana nafasi kwangu..... BRAVO ELN, ni wewe wa kutuokoa, pamoja na kwamba utahitaji kurudisha gharama zako za kuhonga ufanikiwe, ni bora, mbona tulienaye mambo ni yale yale !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
wanaotaka uongozi mpya wa uvccm uondoke madarakani wamekuja na hoja kuwa umri wa mwenyekiti wao ni zaidi ya miak 33 sasa, ameongopa katika elimu yake kuwa ana master's na vile vile alishawahi kuumwa ugonjwa wa akili akiwa jeshini hali iliyofanya apumzishwe kwa manufa ya umma, tafadhali mwenye taarifa sahihi juu ya hayo atuwekee kwa ufafanuzi zaidi
Hivi wwe hujui kwamba karibu MAGAMBA wote wana UMWA UGONJWA WA AKILI?Wanaotaka uongozi mpya wa uvccm uondoke madarakani wamekuja na hoja kuwa umri wa mwenyekiti wao ni zaidi ya miak 33 sasa, ameongopa katika elimu yake kuwa ana master's na vile vile alishawahi kuumwa ugonjwa wa akili akiwa jeshini hali iliyofanya apumzishwe kwa manufa ya umma, tafadhali mwenye taarifa sahihi juu ya hayo atuwekee kwa ufafanuzi zaidi
Wanaotaka uongozi mpya wa uvccm uondoke madarakani wamekuja na hoja kuwa umri wa mwenyekiti wao ni zaidi ya miak 33 sasa, ameongopa katika elimu yake kuwa ana master's na vile vile alishawahi kuumwa ugonjwa wa akili akiwa jeshini hali iliyofanya apumzishwe kwa manufa ya umma, tafadhali mwenye taarifa sahihi juu ya hayo atuwekee kwa ufafanuzi zaidi