Umri na mwili ni sawa?

Umri na mwili ni sawa?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,114
Reaction score
55,531
Mchezaji wa kenya amezaliwa Januari 31, 1992,je unaweza kuamini ana miaka 27?unahisi ni kitu gani kimemkuza hivi?
mchezaji.jpg
 
Sawa,je kwa miaka hiyo na huo muonekano ni sawa?
Ila mkuu sishangai sana japo mm nipo visevesa...umri wangu umeenda ila nina mwili mdogo mfupi alaf sura nayo ndo ivo imegoma kukomaa japo ndo ivo miaka inakwenda...in general naonekana mtoto kabisa ata shule ya msingi naweza rudi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom