ktroshaban
Member
- Nov 6, 2015
- 42
- 95
Wife usinambie ushaonja ule mvinyo niliouleta jana...Kama una uwezo wa kumhudumia mke na watoto na umeshavuka miaka 20 unaweza kuoa
Make kumhudumia ni Pam OJ’s makes kusikiliza matatizo Yale marriage kuyatatua, ya kugombana na masjirani, ya kupika chakula kibichi tote hayo unusualness kutunza siri
Maatusi hayo sasMtu wa miaka 31 anaulizia muda wa kuoa? Wenzako wa umri wako wameshaanza kusomesha nursery school we ndo unaulizia umri wa kuoa, unataka uje uzae wajukuu??
Tusi liko wapi hapo kiongozi?Maatusi hayo sas
asubili siku ajue kutongozaMtu wa miaka 31 anaulizia muda wa kuoa? Wenzako wa umri wako wameshaanza kusomesha nursery school we ndo unaulizia umri wa kuoa, unataka uje uzae wajukuu??