sangujoseph
Senior Member
- Nov 30, 2015
- 164
- 184
.
By Sangu Joseph
.
Wakati tukiendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Corona, leo nimeona nichapishe mawazo yangu kuhusu na umri wa kijana na namna ya kufikia malengo yake mpaka anafikia mafanikio.
Mimi kwangu binafsi naamini sana, kuwa umrri wa Kijana umegawanyika katika Makumi, kuna 10 ya Kwanza (Utoto) ambayo inaanza 0 - 10 ambayo kijana anakuzwa nyumbani Chini ya uongozi wa Wazazi na ndugu 10 la pili (Utoto kuelekea Ujana) lile linaloanzia miaka 11 -20 ambao wengi hapa wanakua wanahitimu Shule ya msingi, Sekondari (na Kidato cha 6). .
.
Kumi la 3 ni lile ambalo linaanzia 20 (Ujana), kuanzia 20 - 30 kwangu Mimi huu ndiyo muda ambao kijana anaweza kuamua aishi vizuri au vibaya kwenye Makumi mengine yajayo, kwa sababu hapo anakutana na vishawishi vingi, lakini pia anapata nafasi ya kujua anahifaji kuwa nani na kuelekea kumi la 4 kuanzia 30 - 40.
Kumi la 3 kwenye ujenzi tunaliita Foundations japo vijana wengi huwa wanalitumia sana kufurahia ujana wao ambao wengi wao huwa inawagharimu sana wanapoanza kumi la 4 kwa sababu wanakuja kugundua kuwa wanahitaji kufanya Mambo muhimu wakiwa kwenye wakati mbaya wa kumi la 4 kwa sababu hili ni fupi na huwezi kuinjoy kwa sababu ni kumi ambalo ukifikisha miaka 35 unahama Ujana unaingia utu uzima ili uanze kuwa na familia na ukiwa na familia unajikuta unaanza kutengeneza future ya kizazi kingine si wewe tena.
Kwa hiyo wakati muhimu wa kijana kuhakikisha anatimiza malengo yake aliyojiwekea walau hata Robo tatu ni wakati wa kuelekea kumi la 3 20 - 30 , Mimi naamini hii time ukicheza vibaya inaweza ikakufanya usifikie malengo yako, labda itokee bahati isiyokuwa ya kawaida.
Insta : FB : Twit : Sangu Joseph
.
.
#KijanaMzalendo #IloveTZ
Sent using Jamii Forums mobile app