UMOJA WA WASTAAFU TANZANIA

UMOJA WA WASTAAFU TANZANIA

stev30sudi

Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
48
Reaction score
18
RETIREEES ASSOCIATION OF TANZANIA (REAT)
1.Umoja wa Wastaafu Tanzania ni Jumuiya ya kiraia iliyosajiliwa chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi tarehe 14/3/2022 na kupewa
Na. ya SA 22924
Makao Makuu ya REAT yako Jijini Dar Es Salaam Wilaya ya Ilala .
2.Ni Umoja kwa Mstaafu yeyote anaepokea Pension kila mwezi kutoka Hazina, PSSSF na NSSF
3.MALENGO YA KUANZISHA UMOJA
i.Kuwaunganisha Wastaafu wote Tanzania Bara
ii.Kuwasemea Wastaafu
iii.Kuwa jukwaa la Wastaafu kuelezea changamoto zao kwa Serikali na wadau wengineo
iv.Kuwa chanzo cha taarifa , elimu na maarifa ya fedha , ujasiriamali na uanzishaji / uendeshaji wa miradi mbalimbali
4.KIINGILIO NA ADA YA UANACHAMA/ UMOJA
Kiingilio ni Tshs 6000/ Ada Tshs 2000/ sawa na Tshs 24,000/= kwa mwaka jumla Tshs
30,000/= zinalipwa kwenye akaunti ya Benki ya NMB Na ya akaunti 23710023174
Jina la Akaunti RETIREES ASSOCIATION OF TANZANIA (REAT )
5.Ukishalipa Benki tuma Slip ya Benk kwenye Na yangu 0784837809 & 0754837809
risti yako utumiwa kwa njia ya mtandao
6.Shughuli za Wastaafu zinafanyika Bwalo la Polisi Shinyanga kuanzia saa 3 hadi saa 7 mchana kila siku kwa mwezi mmoja baada ya hapo utaratibu mpya utatolewa
7.Kama una madai njoo na vielelezo vyako
 
Mmmmm shinyanga tena kutokea ilal? Lengoni kuzunguka mikoani kote au ..bora mkajitokeza media zote hasa TV muonekane na mtambulike.....
 
RETIREEES ASSOCIATION OF TANZANIA (REAT)
1.Umoja wa Wastaafu Tanzania ni Jumuiya ya kiraia iliyosajiliwa chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi tarehe 14/3/2022 na kupewa

Na. ya SA 22924
Makao Makuu ya REAT yako Jijini Dar Es Salaam Wilaya ya Ilala .
2.Ni Umoja kwa Mstaafu yeyote anaepokea Pension kila mwezi kutoka Hazina, PSSSF na NSSF
3.MALENGO YA KUANZISHA UMOJA
i.Kuwaunganisha Wastaafu wote Tanzania Bara
ii.Kuwasemea Wastaafu
iii.Kuwa jukwaa la Wastaafu kuelezea changamoto zao kwa Serikali na wadau wengineo
iv.Kuwa chanzo cha taarifa , elimu na maarifa ya fedha , ujasiriamali na uanzishaji / uendeshaji wa miradi mbalimbali
4.KIINGILIO NA ADA YA UANACHAMA/ UMOJA
Kiingilio ni Tshs 6000/ Ada Tshs 2000/ sawa na Tshs 24,000/= kwa mwaka jumla Tshs

30,000/= zinalipwa kwenye akaunti ya Benki ya NMB Na ya akaunti 23710023174
Jina la Akaunti RETIREES ASSOCIATION OF TANZANIA (REAT )
5.Ukishalipa Benki tuma Slip ya Benk kwenye Na yangu 0784837809 & 0754837809

risti yako utumiwa kwa njia ya mtandao
6.Shughuli za Wastaafu zinafanyika Bwalo la Polisi Shinyanga kuanzia saa 3 hadi saa 7 mchana kila siku kwa mwezi mmoja baada ya hapo utaratibu mpya utatolewa
7.Kama una madai njoo na vielelezo vyako
Wengine tumestaafu na kuchangia miezi zaidi ya 180,Tunaambiwa hatustahili kulipwa pension ya Kila mwezi hii imekaaje?
 
Kama zaidi ya miezi 180 basi unastahili kuwa pensionable ila usijumlishe appointment date Bali Confirmation date.

Hivyo lini walikufhibitisha kazini?
Na huo muda unaingia kwenye hiyo miezi yako 180?
 
Niliajiriwa 1996_2013Nikawa terminated ,Ajira na makato yalianza 1996, August niliajiriwa July 1996.Hivyo nilichangia miezi 204nashangaa wananiambia eti simo!
 
Barua ya kuthibitishwa kazini ulipewa lini? Yaani nauliza mwezi na mwaka?
 
Viumoja vya kihuni tu.Yaani umestaafu halafu unataka tena mifuko ya ajabuajabu ya kukukamu mafao Yako!
 
Back
Top Bottom