Umoja wa waliooa Machame & Mbeya (UMAMBE)

Umoja wa waliooa Machame & Mbeya (UMAMBE)

basi umekosa bahati mahsusi ya kuolewa na mimi..kingine nachowapendea wachaga wanajielewa sana, ukimuoa huwezi kubaki na umaskini,wanapenda vitu vizuri halafu wanajua kupika kama wasambaa
Swt mangiii
 
Wanyaki kiukweli UBABE punguzeni, tumevumilia sura sasa Ubabe wa nn tena?
 
Nashangaa wanatuharibia wanyaki teh

Nimekumbuka ile story ya nani sijui yule, alokuwa na binti mnyaki afu binti akamfumania na mwanamke wa kipare, mnyaki katoa dozi ya mabanzi, baby hata ubavu wa kuamulia hana teh
Hahahaaaa!! Naikumbuka hiyo, nilicheka aisee.
 
Mmh wanyaki sasa hivi, mtuache tu. Umeona tulivyomshukuru prezdaa kuchagua mkoa wetu kupatwa na jua.
Yaani nilichekaa, kila nikiisikiliza ile clip nakukumbuka basi kicheko kinazidi.
Aisee mmewapiku wasukuma, nimewavulia viatu.
Msijali na mwakani mtachaguliwa.
 
Yaani nilichekaa, kila nikiisikiliza ile clip nakukumbuka basi kicheko kinazidi.
Aisee mmewapiku wasukuma, nimewavulia viatu.
Msijali na mwakani mtachaguliwa.
Sasa hivi jina langu ni Antupile mwakajua teh
 
Wanyaki kinadada/mama mnawaogopesha wadogo zetu kuja kuoa huko MWAKALELI. Nasikia mabanzi nje nje hasa hao wa kutoka KYELa noma sana.
 
Back
Top Bottom