Umoja wa Mawakili Afrika (PALU) walaani kukamatwa kiholela na kufukuzwa Nchini kwa Martha Karua na Gloria Kimani, waitaka Tanzania kuomba radhi

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
440
Reaction score
3,211
Umoja wa Mawakili wa Afrika (PALU) umetoa taarifa kulaani kukamatwa kiholela na kufukuzwa kwa mawakili wawili wa Kenya Martha Karua na Gloria Kimani pamoja na mwanaharakati Lynn Ngugi, walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Watatu hao walikuja kushuhudia kesi ya kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu, lakini walikamatwa mara tu baada ya kushuka ndege, mizigo yao ikachukuliwa, na baadaye wakarudishwa Nairobi bila maelezo yoyote rasmi wala mawasiliano kutoka kwa maafisa wa Serikali.

PALU imesema tukio hili ni ukiukwaji wa haki ya kusafiri iliyolindwa na Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Itifaki ya Soko la Pamoja. Taarifa hiyo pia inakumbusha uamuzi wa Mahakama ya Afrika Mashariki wa mwaka 2013 katika kesi ya Samuel Mohochi dhidi ya Serikali ya Uganda, ambapo haki za msafiri zililindwa.

Zaidi ya hayo, PALU imeeleza wasiwasi wake juu ya athari ya matukio haya kwa taswira ya kimataifa ya mfumo wa haki wa Tanzania, hasa ikizingatiwa kuwa uchaguzi mkuu unakaribia, huku kukiwa na kumbukumbu za ukiukwaji wa haki za binadamu.

PALU inazitaka mamlaka za Tanzania kuomba radhi, kutoa fidia kwa walioathiriwa, na kuhakikisha uhuru wao wa kusafiri unaheshimiwa wanapohudhuria kesi za wazi kama ile ya Tundu Lissu. Pia, PALU imeahidi kuendelea kufuatilia suala hili na kuwasaidia wahusika kupata haki.

Pia soma Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar
 
Attachments

Hii Nchi imeenda. Kwa Hali hii tutafika tumechoka
 
Hivi nji hii watoa maamuzi ni nani, uwezo wao wa elimu Na waalimu wao walikuwa akina Nani na Shule walizo somea ni zipi hasa hasa Elimu ya Juu.
 
Serikali ya chura kiziwi ilimzuia mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino kuingia Tanzania mwezi February 2025 hadi mbunge huyu aliandika barua kupata kuelezwa sababu za zuio hilo
FB_IMG_17475829741510970.jpg
Pia ikumbukwe January mwaka huu serikali hii hii ya chura kiziwi ikitumia watekaji kutoka Tanzania walimkamata Maria Sarungi na kutaka kumrudisha Tanzania kupitia mpaka wa Namanga ndipo taarifa ziliposambaa polisi wa Kwnya waliweka vizuizi zaidi mpakani na watekaji walipojua hivyo walibadili uelekeo na kumtelekeza eneo la mbali kidogo na walipomteka na wao kutokomea hadi leo hawajawahi kupatikana.

Sasa hii issue ya kuzuia freedom of movement ni doa kwa mujibu wa mkataba wa EAC na kama mtu atauzuiliwa basi inabidi apewe sababu ila hawa watu wote hawajapewa sababu za kuzuiwa kuingia Tanzania.
FB_IMG_17475829791019790.jpg
 
Umoja wa Mawakili wa Afrika (PALU) umetoa taarifa kulaani kukamatwa kiholela na kufukuzwa kwa mawakili wawili wa Kenya Martha Karua na Gloria Kimani pamoja na mwanaharakati Lynn Ngugi, walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Watatu hao walikuja kushuhudia kesi ya kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu, lakini walikamatwa mara tu baada ya kushuka ndege, mizigo yao ikachukuliwa, na baadaye wakarudishwa Nairobi bila maelezo yoyote rasmi wala mawasiliano kutoka kwa maafisa wa Serikali.

PALU imesema tukio hili ni ukiukwaji wa haki ya kusafiri iliyolindwa na Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Itifaki ya Soko la Pamoja. Taarifa hiyo pia inakumbusha uamuzi wa Mahakama ya Afrika Mashariki wa mwaka 2013 katika kesi ya Samuel Mohochi dhidi ya Serikali ya Uganda, ambapo haki za msafiri zililindwa.

Zaidi ya hayo, PALU imeeleza wasiwasi wake juu ya athari ya matukio haya kwa taswira ya kimataifa ya mfumo wa haki wa Tanzania, hasa ikizingatiwa kuwa uchaguzi mkuu unakaribia, huku kukiwa na kumbukumbu za ukiukwaji wa haki za binadamu.

PALU inazitaka mamlaka za Tanzania kuomba radhi, kutoa fidia kwa walioathiriwa, na kuhakikisha uhuru wao wa kusafiri unaheshimiwa wanapohudhuria kesi za wazi kama ile ya Tundu Lissu. Pia, PALU imeahidi kuendelea kufuatilia suala hili na kuwasaidia wahusika kupata haki.

Pia soma Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar
Haombi mtu radhi. Kama hao ni watetezi wa haki kwanini hawaendi Congo DR? Tena walistahili bakora kabisa kabla ya kupanda ndege kurudishwa kwao! Nyambafu!!!!
 
Umoja wa Mawakili wa Afrika (PALU) umetoa taarifa kulaani kukamatwa kiholela na kufukuzwa kwa mawakili wawili wa Kenya Martha Karua na Gloria Kimani pamoja na mwanaharakati Lynn Ngugi, walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Watatu hao walikuja kushuhudia kesi ya kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu, lakini walikamatwa mara tu baada ya kushuka ndege, mizigo yao ikachukuliwa, na baadaye wakarudishwa Nairobi bila maelezo yoyote rasmi wala mawasiliano kutoka kwa maafisa wa Serikali.

PALU imesema tukio hili ni ukiukwaji wa haki ya kusafiri iliyolindwa na Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Itifaki ya Soko la Pamoja. Taarifa hiyo pia inakumbusha uamuzi wa Mahakama ya Afrika Mashariki wa mwaka 2013 katika kesi ya Samuel Mohochi dhidi ya Serikali ya Uganda, ambapo haki za msafiri zililindwa.

Zaidi ya hayo, PALU imeeleza wasiwasi wake juu ya athari ya matukio haya kwa taswira ya kimataifa ya mfumo wa haki wa Tanzania, hasa ikizingatiwa kuwa uchaguzi mkuu unakaribia, huku kukiwa na kumbukumbu za ukiukwaji wa haki za binadamu.

PALU inazitaka mamlaka za Tanzania kuomba radhi, kutoa fidia kwa walioathiriwa, na kuhakikisha uhuru wao wa kusafiri unaheshimiwa wanapohudhuria kesi za wazi kama ile ya Tundu Lissu. Pia, PALU imeahidi kuendelea kufuatilia suala hili na kuwasaidia wahusika kupata haki.

Pia soma Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar
Tanzania ilikuwa nchi ya Mfano hata viongozi duniani walipoona changamoto Africa walituulizia sisi lakini CV yetu kuanzia 2015 ilianza kushuka na sasa ndio tunaelekea shimoni kabisa.Nadhani tatizo kwa sasa ni kuwa nchi imejaa watu wavivu ambao wanalinda vyeo vyao kwa gharama za wengine na kusifia tu ili kuficha udhaifu.Tunahitaji kusafisha jina letu zuri la Tanzania na suala hili la kuteka hatujui linatakuja kufukuza watalii wote maana kidogo kidogo tunatengeneza Nigeria yetu.
 
CCM inapiga mpaka viongozi wa dini kwa utamu wa madaraka
Father Charles Kitima hana hamu tena na CCM. Walimpiga na kitu chenye ncha kali kichwani kisha wakasema alikua ametoka kupata kinywaji akielekea Chooni ndio wakamvamia na kumshushia kipigo
 
Back
Top Bottom