Umoja wa EU unapanga kutunga sheria kwa vifaa kuwa na muingiliano licha ya Apple kusita kukubali

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Tume ya Ulaya siku ya Alhamisi itawasilisha pendekezo la kisheria kwa vifaa kama chaja za smartphone,tablet na headphone,kuwa ni aina zisizo tofautiana kwenye teknolijia.

hatua inayoweza kuathiri utengenezaji wa iPhone Apple (AAPL.O) kwa zaidi ya wapinzani wake.

IMG_0790.jpg

Mtendaji wa Umoja wa Ulaya na wabunge wa EU wamekuwa wakishinikiza mifumo hii kuwa isitofautiane kwa zaidi ya muongo mmoja, wakisema itakuwa bora kwa mazingira na inafaa zaidi kwa watumiaji.

********
Source: Reuters

The Commission wants the sale of chargers to be decoupled from devices, and also propose a harmonised charging port, the person said.

Apple, whose iPhones are charged from its Lightning cable, has said rules forcing connectors to conform to one type could deter innovation, create a mountain of electronic waste and irk consumers.

Rival Android-based devices are charged using USB-C connectors. Half the chargers sold with mobile phones in 2018 had a USB micro-B connector, while 29% had a USB-C connector and 21% a Lightning connector, according to a 2019 Commission study.
 
Back
Top Bottom