Umoja wa Afrika kuanzisha Pasipoti ya Afrika

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,310
Kamishna wa Siasa wa Umoja wa Afrika, Bi, Aisha Abdullahi amesema kuwa Afrika inakaribia kuwa nchi isiyo na mipaka kufuatia kuanza kwa utekelezaji wa kuwa na paspoti ya pamoja, kama ilivyoainishwa kwenye Ajenda 2063, inayolenga kufufua Umajumui wa Kiafrika.

AfricanPassportsBLOGIMAGE.jpg

Kwa sasa nchi mbili za Rwanda na Mauritius zinashughulikia uanzishwaji wa mpango huo ambao utahakikisha Wakazi wa Afrika hawalazimiki kuwa na 'visa' kuingia katika Taifa lolote.

The African Union has said the free movement of citizens could be improved with the introduction of an African passport as part of its 2063 Agenda for “a continent with seamless borders”.

AU Commissioner for Political Affairs Dr. Aisha Abdullahi said on Sunday that Africa could soon become borderless and the plan for a single African passport is in progress and so far, two countries – Rwanda and Mauritius – have implemented it, Zegabi reported.

“This would also ensure the free movement of people on the continent,”

“Our people will not have to carry a visa to gain access to other African states. There will be free trade of goods” Dr. Abdullahi said at the #Africities summit.

“We have identified flagship projects, for example, [the introduction] of an African passport to ensure that Africans can move freely to every African state,” Dr. Abdullahi reportedly said.

The proposal to implement a single passport for Africa is part of the AU’s 2063 Agenda. The project, which was agreed upon last year, also aims to improve intra-African trade and to ease the movement of domestic goods between member states, Zegabi reported.

The Africa we want. Photo: African Union 2063 Agenda document screenshot

According to the African Development Bank (AfDB), “The AU’s vision is matched by a call to action to introduce an African Passport and abolish visa requirements for all African citizens in all African countries by 2018”.

Meanwhile, AfDB is finalising, “the first Africa Visa Openness Index”, which ranks African countries on the level of openness/restrictiveness of their visa regimes, which aims “to drive visa policy reforms across Africa, simplify visa application procedures and encourage positive reciprocity”.

Other unions across the world have abolished passports. For example, the border-free Schengen Area (a creation of the Schengen Agreement), where 26 European countries (22 of the 28 European Union (EU) member states) have abolished passports and other border controls. The member states have a common visa policy, which facilitates the free movement of people.

Chanzo: This Is Africa
 
vizuri ila kuna nchi mfano south africa haziwez kukubali hii kitu
 
Nimeipenda hii. Kwa hiyo tutakuwa tunaingia Somalia na kutoka tunavyotaka na wao hivyo hivyo. Badala ya kushughulika na vitu vya maana mnahangaika na visa ya pamoja! Mambo muhimu kwa sasa Afrika ni suala zima la usalama/ugaidi, elimu duni, umasikini uliopindukia, ufisadi, baadhi kutoheshimu Katiba za nchi zao na suala zima la demokrasia. Hayo ndio ya msingi kwa sasa.
 
AU kumbe nao hawafikirii kwa mapana. Hili swala la Al Shabab Boko Haram na IS wanalifumbia macho. Msituletee balaa kila mtu atumie passport ya nchi msituletee magaidi pasipo kufikiri
 
AU kumbe nao hawafikirii kwa mapana. Hili swala la Al Shabab Boko Haram na IS wanalifumbia macho. Msituletee balaa kila mtu atumie passport ya nchi msituletee magaidi pasipo kufikiri
Jifunze upya walichokufundisha shuleni na CNN. Boko Haram wako Nigeria, una uhakika gani kuwa Balozi wa Nigeria hapa nchini hasapoti Boko Haram?
 
At the end the whole world will be under one administration. You combine parts to form whole. America is united, Europe is united, the do homework unite Africa, then unite USA, EU and Africa Union States get one whole thing (join armed forced, currency and religions). After several years, the whole world will be under one administration. That time come, God will be needed more than ever!
 
There is no such time, ni uoga mliojazwa tu!
 
Ni wazo zuri lakini nikiwaza kwa Tanzania yenyewe ni wangapi wenye hati hizo na ni wangapi wanaokufa njaa, kuhangaika na sare za shule au hata kukosa dawa za japo kutuliza maumiivu ya kichwa nadhani kwamba suala hili sio kipaumbele kwa sasa
 
Tukiangalia idadi ya wanaokufa njaa (kama wapo) hatutafanya lingine lolote. Hati ya kusafiria sio nyaraka ya msingi, hakuna mahali unapoombwa pasi kwa lazima isipokuwa safarini, na siamini kama kuna mtu aliitaka akaikosa.
 
Ipo but has no special privilages ukilanganisha national passport. Integration bado sana, hasa watanzania tumejaa hofu.
Watanzania wepi, nyie wasomi wa mjini? Mbona sisi mipakani tuna amani tu na kuingia Kenya, na hii ipo mipaka yote... East African PAssport inawezekana ina privileji, ila watu hawazijui labda. NA juzi kati kuna makubaliano ya mipakani tuisaini watu wa EAC, ya kutuwezesha kuingia mipakani bila kuomba viza ubalozini, pengine yameua hizo privieji za EA Pass
 
“This would also ensure the free movement of people on the continent”

But would the same imply free movement of labour?

“Our people will not have to carry a visa to gain access to other African states. There will be free trade of goods” Dr. Abdullahi said at the #Africities summit.

Is it?! There is no direct relationships btn having AU passports with free movement of goods unless you remove trade barriers and other trade monetary restrictions.
 
have you ever been in the future? If no how did you know with certainity to say what you just said?
Calculations dear, you have to read more materials for yourself, not tales told by clerics who had nothing but six months of indoctrination...
 
Back
Top Bottom