jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,877
- 10,202
ni muda sasa watanzania kuamka na kupambana na maisha yao haya maswala ya kugeuzana tiara yalishapitwa na wakati kwa kufanywa mapongo.Wito kwa wote wanaopenda mabadiliko na Upinzani wa kweli.
Popote ulipo, tunaomba ujisikie kukijenga chama hiki cha ukombozi wa awamu ya tatu.
Binafsi najitole kujenga ofisi ya chama katika ngazi ya Mkoa au wilaya. Nitajenga kwa pesa zangu mwenyewe.
Karibu ewe mpenda haki, karibu na ubarikiwe.
Umoja Party: Hapa Kazi TuWito kwa wote wanaopenda mabadiliko na Upinzani wa kweli.
Popote ulipo, tunaomba ujisikie kukijenga chama hiki cha ukombozi wa awamu ya tatu.
Binafsi najitole kujenga ofisi ya chama katika ngazi ya Mkoa au wilaya. Nitajenga kwa pesa zangu mwenyewe.
Karibu ewe mpenda haki, karibu na ubarikiwe.
Mi nitachangia bati bando nneTatizo hao wababaishaji hawaeleweki.
Kuna jisehemu humu nilishaposti kuwa kuna mazingaombwe kwenye maridhiano, kwamba upo uwezwkano kuna kadelay tactic(maneno yangu niliyotumia, yalikuwa -'hawana mda') nikielewe fika CCM lazima wapeleke wangalau muswada wa kuwa na dhamira wa mchakato mpya wa Katiba Bungeni. Nilibezwa. Na nina uhakika sikuwa peke yangu na mtazamo huo kwani wapo wabobezi wengi tu wa masuala ya kisiasa nchini ambao walikuwa na mtazamo huo.
Sasa braza Lissu kadai hayo. Aiseee na inaonekana wanataka kutoa ka Altimamu fulani hivi au kuanza kudai wanadhulumiwa-isitoshe, inaonekana hapo ndipo kwenye msuguano kati ya Lissu na Mbowe[katiba vs maridhiano] na inaonyeeha hata hayo maridhiano Lissu hakuwa involved some how-nafikiri- in the decision making.... hapo basi.
Hakika nchi inahitaji mbadala na dira nyoofu-na inayoeleweka [sera thabiti za mambo ya ndani na nje] Is Umoja ready and Capable?
Kuna watu wanajitolea.
Pongezi sana kiongozi.Wito kwa wote wanaopenda mabadiliko na Upinzani wa kweli.
Popote ulipo, tunaomba ujisikie kukijenga chama hiki cha ukombozi wa awamu ya tatu.
Binafsi najitole kujenga ofisi ya chama katika ngazi ya Mkoa au wilaya. Nitajenga kwa pesa zangu mwenyewe.
Karibu ewe mpenda haki, karibu na ubarikiwe.
Umoja Party haitakuwa na JIPYA LOLOTE kwani Viongozi ni Walewale na Wanachama ni wale wale Wajinga Jinga tuWito kwa wote wanaopenda mabadiliko na Upinzani wa kweli.
Popote ulipo, tunaomba ujisikie kukijenga chama hiki cha ukombozi wa awamu ya tatu.
Binafsi najitole kujenga ofisi ya chama katika ngazi ya Mkoa au wilaya. Nitajenga kwa pesa zangu mwenyewe.
Karibu ewe mpenda haki, karibu na ubarikiwe.
Jenga, ila funguka wadau wake wa Chama ni wakina nani? Wapiga kura ni watu na si majengo.Wito kwa wote wanaopenda mabadiliko na Upinzani wa kweli.
Popote ulipo, tunaomba ujisikie kukijenga chama hiki cha ukombozi wa awamu ya tatu.
Binafsi najitole kujenga ofisi ya chama katika ngazi ya Mkoa au wilaya. Nitajenga kwa pesa zangu mwenyewe.
Karibu ewe mpenda haki, karibu na ubarikiwe.
Wangapi nowdays wanapost mimba huku mwanaume umeweka sikio tumboni kusikia mtoto anakwambia nini?.Chama hata hakijasajiliwa wewe tayari unapiga makelele!
Chama sio kelele za MitandaoniNaisubiri hiyo kwa hamu. Wakati wa kudeal na wababaishaji umekwisha!
Wito kwa wote wanaopenda mabadiliko na Upinzani wa kweli.
Popote ulipo, tunaomba ujisikie kukijenga chama hiki cha ukombozi wa awamu ya tatu.
Binafsi najitole kujenga ofisi ya chama katika ngazi ya Mkoa au wilaya. Nitajenga kwa pesa zangu mwenyewe.
Karibu ewe mpenda haki, karibu na ubarikiwe.
Ndugu Zetu wa CCM wameridhia kisajiliwe? Maana wao hujifanya wamilik wa Tanzania
Dr silaa sio zittoHata ACT ilianza kwa mikwara.
Pongezi sana kiongozi.
Lazima chama kipate wafadhili wa ndani.
Ni bora kiratibiwe na dola ili kiweze kushika dola.CCM wanafahamu vizuri uwepo wa hiki chama. Inatakiwa kujengwe mpasuko fake ndani ya CCM, kupitia mpasuko huo fake, hiki chama kitabeba baadhi ya watu, na kisha chama hicho kitafanya siasa za upinzani zitakakazoratibiwa na dola.
Chama hiki kilikuwa kianze mapema wakati wa Magufuli, lakini ilitakiwa kwanza CDM iuwawe, na ndio maana uchaguzi wa 2020 ulinajisiwa ili hicho chama kianzishwe. Zitapigwa propaganda mufilisi kuwa chama hicho ni cha wazalendo, lakini hiyo ni Hadaa kwani ni chama chenye ushirikiano wa moja kwa moja na CCM kwa utaratibu wa dola.