Msimchafue UmmyUmmy amekatwa kwa kukataa kumuinamia Malikia . Mama alijua Ummy hamuheshimu kama kiongozi ndani yake kama ilivyokuwa kwa Magufuli. Tatizo lake halikuwa utendaji bali ni kisasi
ndio nyumbani mkuu, karibu sana majani mapana 😀nshomile wapi na wapi na Tanga
Hayo majani mapana yana kazi gani?ndio nyumbani mkuu, karibu sana majani mapana 😀
nafikiri alikua katibu mkuu wake kipindi hicho...
Mboooowe mpumbavu kweli 😁😁😁
Tanga kubwa kaka.Mbona wajumbe walimpitisha kwa kishindo.Sema kosa lake ni kuvuja kwa mazungumzo yake akimsimanga mjukuu wa mtume(tofauti na hapo bungeni alikuwa anarudi vizuri tu)Tanga hatumtaki huyo, Ahsanteni kamati kuu
Mwantumu MalaleHivi kile kipindi cha Magufuli, Ummy alikuwa anagombana na nani mpaka Magufuli akasema amewasikiliza kwenye simu?
Kwahiyo hapo mfaleme njozi anatakaje kwa mfano,menye kuelewa msaada tazafali
sina kumbukumbu mkuu ila nafikiri alikua mwanaume...Katibu mkuu wake kipindi hicho kama sikosei alikuwa Dkt. Gwajima sio?
kamati kuu ndio wenye sauti ya mwisho kwenye chama, nadhani malalamiko ya madudu aliyoyafanya huko kwa wajumbe yamefika kamati kuu na wameyafanyia kazi!Tanga kubwa kaka.Mbona wajumbe walimpitisha kwa kishindo.Sema kosa lake ni kuvuja kwa mazungumzo yake akimsimanga mjukuu wa mtume(tofauti na hapo bungeni alikuwa anarudi vizuri tu)
Tanga hatumtaki huyo, Ahsanteni kamati kuu
njoo uoe huku mkuu, utajua kazi yake 😀Hayo majani mapana yana kazi gani?
Aliyekuwa katibu mkuu wizarani alipokuwa anahudumuKidoti
Kawaida wafalme huwa ni jeuriUmmy amekatwa kwa kukataa kumuinamia Malikia . Mama alijua Ummy hamuheshimu kama kiongozi ndani yake kama ilivyokuwa kwa Magufuli. Tatizo lake halikuwa utendaji bali ni kisasi