K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,278 Reaction score 13,921 Aug 24, 2025 #1 Ummy amekatwa kwa kukataa kumuinamia Malikia . Mama alijua Ummy hamuheshimu kama kiongozi ndani yake kama ilivyokuwa kwa Magufuli. Tatizo lake halikuwa utendaji bali ni kisasi
Ummy amekatwa kwa kukataa kumuinamia Malikia . Mama alijua Ummy hamuheshimu kama kiongozi ndani yake kama ilivyokuwa kwa Magufuli. Tatizo lake halikuwa utendaji bali ni kisasi
byeyombo JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 3,917 Reaction score 5,180 Aug 24, 2025 #3 Tanga hatumtaki huyo, Ahsanteni kamati kuu
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 4,765 Reaction score 10,130 Aug 24, 2025 #4 Mwambie aache Majungu. Kama ana issue Anatakuwa ku raise in public, sio majungu tu chini kwa chini
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,522 Aug 24, 2025 #5 Mbona wamekatwa wengi tu
Bukirilo JF-Expert Member Joined Jul 3, 2024 Posts 470 Reaction score 907 Aug 24, 2025 #6 Ummy Acha majungu .. Mama amekushtukia
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 6,199 Reaction score 10,837 Aug 24, 2025 #7 johnthebaptist said: Mbona wamekatwa wengi tu Click to expand... USHAURI: Wote waliokatwa waje waongeze nguvu kwenye sauti ya wananchi ya NO REFORMS, NO ELECTION kimsingi mwaka huu hakuna uchaguzi. HAUPO. #KATAA WAHUNI#
johnthebaptist said: Mbona wamekatwa wengi tu Click to expand... USHAURI: Wote waliokatwa waje waongeze nguvu kwenye sauti ya wananchi ya NO REFORMS, NO ELECTION kimsingi mwaka huu hakuna uchaguzi. HAUPO. #KATAA WAHUNI#
Mama Ametufikia JF-Expert Member Joined Jul 17, 2024 Posts 501 Reaction score 1,303 Aug 24, 2025 #8 Miaka 15 inamtosha Bungeni Mungu ampatie nini makimuga
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,200 Reaction score 28,082 Aug 24, 2025 #9 Hivi kile kipindi cha Magufuli, Ummy alikuwa anagombana na nani mpaka Magufuli akasema amewasikiliza kwenye simu?
Hivi kile kipindi cha Magufuli, Ummy alikuwa anagombana na nani mpaka Magufuli akasema amewasikiliza kwenye simu?
O October 29 JF-Expert Member Joined Nov 5, 2024 Posts 3,144 Reaction score 4,450 Aug 24, 2025 #10 lukesam said: Hivi kile kipindi cha Magufuli, Ummy alikuwa anagombana na nani mpaka Magufuli akasema amewasikiliza kwenye simu? Click to expand... Kidoti
lukesam said: Hivi kile kipindi cha Magufuli, Ummy alikuwa anagombana na nani mpaka Magufuli akasema amewasikiliza kwenye simu? Click to expand... Kidoti
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 8,682 Reaction score 16,249 Aug 24, 2025 #11 Hivi Kigwangala imekuaje,hakugombea au?
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,974 Reaction score 75,056 Aug 24, 2025 #12 Mbowe kamuinamia sasa anakula mema ya nchi tu akisubiria Lissu anyongwe na yeye arudishiwe kile kikoba chake
Mbowe kamuinamia sasa anakula mema ya nchi tu akisubiria Lissu anyongwe na yeye arudishiwe kile kikoba chake
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 6,199 Reaction score 10,837 Aug 24, 2025 #13 SAGAI GALGANO said: Mbowe kamuinamia sasa anakula mema ya nchi tu akisubiria Lissu anyongwe na yeye arudishiwe kile kikoba chakeView attachment 3451385 Click to expand... Yezebeli mwaka huu Chali! HATOBOI
SAGAI GALGANO said: Mbowe kamuinamia sasa anakula mema ya nchi tu akisubiria Lissu anyongwe na yeye arudishiwe kile kikoba chakeView attachment 3451385 Click to expand... Yezebeli mwaka huu Chali! HATOBOI
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 49,974 Reaction score 75,056 Aug 24, 2025 #14 Blood of Jesus said: Yezebeli mwaka huu Chali! HATOBOI Click to expand... Itakuwa sherehe kubwa kuona nusu mlingoti huku tukiimba parapanda italia parapanda.....
Blood of Jesus said: Yezebeli mwaka huu Chali! HATOBOI Click to expand... Itakuwa sherehe kubwa kuona nusu mlingoti huku tukiimba parapanda italia parapanda.....
N nyakubonga JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 6,486 Reaction score 11,177 Aug 24, 2025 #15 ki2c said: Hivi Kigwangala imekuaje,hakugombea au? Click to expand... aliangushwa kura za maoni.
N nyakubonga JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 6,486 Reaction score 11,177 Aug 24, 2025 #16 lukesam said: Hivi kile kipindi cha Magufuli, Ummy alikuwa anagombana na nani mpaka Magufuli akasema amewasikiliza kwenye simu? Click to expand... nafikiri alikua katibu mkuu wake kipindi hicho...
lukesam said: Hivi kile kipindi cha Magufuli, Ummy alikuwa anagombana na nani mpaka Magufuli akasema amewasikiliza kwenye simu? Click to expand... nafikiri alikua katibu mkuu wake kipindi hicho...
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 6,199 Reaction score 10,837 Aug 24, 2025 #17 SAGAI GALGANO said: Mbowe kamuinamia sasa anakula mema ya nchi tu akisubiria Lissu anyongwe na yeye arudishiwe kile kikoba chakeView attachment 3451385 Click to expand... Yezebeli mwaka huu Chali! HATOBOI
SAGAI GALGANO said: Mbowe kamuinamia sasa anakula mema ya nchi tu akisubiria Lissu anyongwe na yeye arudishiwe kile kikoba chakeView attachment 3451385 Click to expand... Yezebeli mwaka huu Chali! HATOBOI
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 18,272 Reaction score 34,463 Aug 24, 2025 #18 Cannabis said: View attachment 3451363 Click to expand... Mmachame na kende zake ameamua kumuinamia huyu Jezebel.
Cannabis said: View attachment 3451363 Click to expand... Mmachame na kende zake ameamua kumuinamia huyu Jezebel.
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,684 Reaction score 24,003 Aug 24, 2025 #19 lukesam said: Hivi kile kipindi cha Magufuli, Ummy alikuwa anagombana na nani mpaka Magufuli akasema amewasikiliza kwenye simu? Click to expand... He kumbe?!
lukesam said: Hivi kile kipindi cha Magufuli, Ummy alikuwa anagombana na nani mpaka Magufuli akasema amewasikiliza kwenye simu? Click to expand... He kumbe?!
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 50,217 Reaction score 96,350 Aug 24, 2025 #20 byeyombo said: Tanga hatumtaki huyo, Ahsanteni kamati kuu Click to expand... nshomile wapi na wapi na Tanga
byeyombo said: Tanga hatumtaki huyo, Ahsanteni kamati kuu Click to expand... nshomile wapi na wapi na Tanga