Umezaliwa lini?

Mndengereko...snaps won't show how romantic I am....you can read it through....kwa mwandiko wangu....

ulishawahi kuuona mwandiko wa masoud sura mbaya?? Ni mzuri balaa tofauti na yeye alivyo ? By the way kwa modern devices tulizokuwa nazo na kutumia sipati kuuona mwandiko wako direct rather hata kama ni mbaya unabebwa na maandishi ya kicomputer
 
Last edited by a moderator:
avatar je?..haitoshi?
ulishawahi kuuona mwandiko wa masoud sura mbaya?? Ni mzuri balaa tofauti na yeye alivyo ? By the way kwa modern devices tulizokuwa nazo na kutumia sipati kuuona mwandiko wako direct rather hata kama ni mbaya unabebwa na maandishi ya kicomputer
 
hahaaaaah! taja bwanaaa
Sitoweza taja sababu hapa kuna zaidi ya watu laki mbili, sasa nina uhakika wapo wengi sana wanaonifahamu au ninaowafahamu kinachotufanya tusijuane ni majina batili tunayotumia.

Unakuta vitu vingi nilivyochangia ni uhalisia wa maisha yangu na ni matukio ya ukweli yaliyonikuta au niliyoyafanya au yaliyotokea, nikiongezea tarehe ya kuzaliwa itakuwa haileti maana ya kutumia jina batili.

Au pengine wewe mwenyewe tunajuana majina ndo yaliyotuwekea pazia.

Kingine chochote utakachouliza usisite tutafahamishana.
 

mmmh! ok
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…