Umezaliwa lini?

wewe lini mwenzetu?
Naogopa kuna watu wanajua kunusa sana, nikitaja wanaweza stukia.

Wewe hujui kuna watu wanajua tarehe za wenzao hata kama umesahau unakumbushwa.
 
Naogopa kuna watu wanajua kunusa sana, nikitaja wanaweza stukia.

Wewe hujui kuna watu wanajua tarehe za wenzao hata kama umesahau unakumbushwa.

hahaaaaah! taja bwanaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…