Umewezaje kudate na mwanamke Nurse?

Mara nyingi tunadhani mwaka au miaka 2 ndio tunakuwa tumemchunguza mwamke vizuri, lakini kunamsemo unasema,, utamjua mwanake pindi ukishamuoa sijui unaukweli gani.
 
thank you mkuu
 
Daaah! mwamba unajua kuchekesha..
 
We ni mfamasia,ngoja akakutane na ma MD,huko wodini pamoja na masupavaiza wa usiku.Mchunguze vema mkuu.
 
We ni mfamasia,ngoja akakutane na ma MD,huko wodini pamoja na masupavaiza wa usiku.Mchunguze vema mkuu.
kwamba MD wananin?MD hawana hela kama watu wamadawa Yaani wafamasia , hyo sio sababu !
 
Kua makini,jipe muda,umjue vema,manesi wengi hawaolewagi,naandika kwa experience.Jiulize kwanini... mchunguze vema.
hawaolewi kwa sababu wnakuwaga busy sana , kazi ya nurse ndo kazi ngumu inayohitaji kujitoa sana kwenye kada ya Famasi , Huyu nkimuoa ntamtoa kwenye hii kazi !
 
Binti anahitaji kuitunza stara yake nawe mjali kwa kumuoa usimvunje moyo wala kuzaa nae nje ya ndoa kwake ni aibu.
 
Unataka kusema mshahara wa mfamasia na daktari unafanana?
wafamasia Wanaleseni Plus na mshahara unamzidi Daktar yes , yani Huwez kufungua famasi bila leseni ya mfamasia

Mshahara wa mfamasia 1.4- 1.6M
Daktar 1.5-1.7M

lakin leseni ya mfamasia ni Milion moja japo wanaburgain ila Top Inakuwaga 700k kwa mwez hvyo anakuwa na 1.4M + 1M kwa mwez.
 
Manesi wa wapi hao mnaosema hawaolewi.

Nipo kada ya afya, nimeoa nesi, washkaj zangu hapa wameoa manesi.

Hapa hospitali na chuo, manesi walioolewa ni wengi tu. Na wengine harusi zinakuja hivi karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…