Umewatambua wachezaji wangapi hapa?

Umewatambua wachezaji wangapi hapa?

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,110
Reaction score
9,618
Hiki ni kikosi cha Yanga nadhani 2005 unawatambua wangapi na uwataje!
NB:
Vijana mlioanza kufatilia baada ya AzamTv kueni wapole
IMG_8760.jpeg
 
Yanga ya 2005 _ 2007 ilikuwa ya moto kiasi chake. Abuu Ramadhan amokachi, Amri Kiemba, Nsajigwa kipa peter manyika, Doi Moke? Then Smg anakuwa replaced na Ngasa!
 
Back
Top Bottom