Wakati nmepanga Mlalakua uswazi kidogo, kuna siku nilikua napiga game mida ya saa 6 usiku afu upande wa dirishani kuna kichochoro, girlfriend wangu alikua anapiga sana kelele siku hiyo na kiukweli nilikua nimemkunja haswa, sasa jamaa mmoja alikua anakatiza, pazia langu lilikua mm naweza kuona kivuli cha mtu wa nje ila yeye haoni ndani, ukizingatia nyumba nyingi za uswazi madirisha ni wavu tu, sasa kutokana na zile kelele nikaona jamaa kapiga brake ghafla, akaanza kurudi kwenye dirisha, kwanza akatulia kusikilizia audio, ilivyomnogea nikaona kainama chini kuibuka ana kijiti anachokonoa pazia ili apate picha live, nikamwambia 'we fala" akatoka nduki sana, kesho yake nakutana nae ananilaumu kwa nini nilimfukuza, kumbe usiku ule alienda kutafuta malaya hahahaha.