Umewahi piga/pigwa chabo katika faragha

Umewahi piga/pigwa chabo katika faragha

Hahaha sijui nianzie wapii aisee nimepiga chabo nimepigwa chabo..ila moja sitosahau nilipigwa chabo guest na mhudumu aiseee ....ilikuwa 2013 nimezama na chombo daaaah katikati ya gemu naangalia juu mlangoni nakuta dogo kanin'ginia anakula chabo nikamshtua demu hahaha akaniambia tuendelee nimuache hahahha mie nikanza kuleta mikogo mara nikasikaa paaa dogo kaanguka hahahhah sijui na yy alikuwa anapiga bao...
 
Hujui mazingira yalivokua.
Mtoto kawaida akitoka shule alikua na desturi ya kuja chumbani kuchukua hela ya tusheni. Namaanisha nauli. Hata kama sipo anajua napomuwekeaga.

Afadhali hata sikumuona, maana angenikatisha stimu zote, na siku hiyo nilikuaga na nyegge kweli.

Mama Deborah taratibu, sisi wengine tuko single na hatuna mpango wakupitia Sinza.
 
ha ha kuna jamaa yetu flani hivi siku akitaka kugonga lazima aje gheto kututambia, basi bwana jamaa kaja katamba pale watu tukampigia hesabu tukale deo hasa kwenye kike chumba chake ili ulipate dirisha ni lazima upande kwenye kizingiti, hamadi ile kazi inataka kuanza tu kuna watu wakawa wanapita njia ilibidi niruke pale juu ili nikimbie maana watu wasije jua labda ni mwizi, katika harakati za kutua nikatua vibaya nikashtuka mguu asee huo ndio ukwa mwisho wangu wa kula deo
 
Maisha yana mambo mengi, vyovyote unavyoweza sema. Kupigwa chabo hasa ukingonoka faragha bila ridhaa huwa ni jambo la fedheha kubwa na agharabu likakupeleka katika msongo wa mawazo. Wengine wamedondokea katika urahibu huu wa kupiga chabo. Hebu tubadiloshane uzoefu vip umewahi piga chabo? Ilitokea kwa bahati mbaya au ulivizia, ulidakwa? Nini kilitokea.
Binafsi niliwahi pitia hizo zaga ila zote mbili hazikuwa planed, ya kwanza ilikuwa likizo kwa shangazi yangu sasa wenye nyumba woye wakawa kazi, mara cousin wangu wa kike akarejea mwendo wa saa nne asubuhi akiwa na bro mmoja simjui, mi nilikuwa nje kwenye mabanda ya ng'ombe nawapa nyasi. Wakawa wameketi sebuleni sasa sijui nini kilinipeleka ndani dhaa nikalikuta lile li bro linamla mate cousin, hapo nilikiwa form one kisha cousin alikuwa kamaliza six. Nikala chabo walivyozidiwa wakokokotana chumbani kwake Cousin jamaa akala ila hiyo scene ya kugegedana niliambulia Audio .
Tukio jingine nilikuwa Tukuyu(ugenini) huko niko zangu juu ya mparachichi nacheki mishe za maparachichi macho yakatua kwenye kibafu kisicho ezekwa kuna bidada alikuwa anaoga, mzuri balaa. Nilichabo tangu anaingia hafi anatoka bafuni. Hebu tu share kam umewahi ingia kwenye hizi kingdom
NB: Matukio yote hayakuwa planned
wewe mkuu
 
Daah..! nmekumbuka mbali sana..! Huku uswazi kuna mambo sana..! Jirani yangu msela kama mie alikuwa kila baada ya week analeta demu mpya. Mie namwangalia tu. Siku ya siku mida ya saa nane usiku nipo naangalia zangu muvi kamkojo sikakanibana bana..!
Ile natoka nje napita mlangoni kwake naskia kilio kutoka kwa mtoto wa kike. Nikasema nini hiki?! Inamaana jirani anampiga makofi huyu demu?! Nikapotezea Nikaenda kukojoa. Wakati narudi bana naskia sauti ndo kwanza imezidi..!
Nikasema nikiwaacha hawa zitakuwa dharau. Uzuri ni kwamba nyumba tunayokaa madirisha yetu yamekaa uchochoroni ambapo hakuna njia and so kama ukienda huko hakuna wakukusumbua. Basi kidume nikaenda nyuma kule kwenye dirisha lake. Nakuta kipanzia kinapepea kwa feni..! So sikuwa na haja hata ya kutafuta kijiti. Nikatafuta kistuli nikakaa chini taratibu nakula chabo. Kilichonichosha sasa, jamaa alikuwa anakula sanvu la kopo (umber ruty) nilichoshangaa pamoja na kilio cha demu bado alikuwa anakatika kiuno sijapata kuona..!
Toka siku hiyo nikiona kaja na demu tu mie muvi haiangaliki. Nawasubiri ikifika kuanzia saa 5 tu. Mie huyooo dirishani kwenda kula tv ya bure.
Nmecheka sana 😂😂😂 We jamaa mtu mbaya sana hahahah
 
Back
Top Bottom