Unajua maana ya upendo.....tuanzie hapo kwanza we pundaKwenda Visiting day boarding school au Shule ya Bweni Dar inabidi ujipange sana.je Nini kinapelekea wazazi au ndugu kwenda na vitu vingi kiasi kile,yaani chakula.vinywaji na vingine vingi kwa mtoto mmoja na mtoto mwenyewe wala hababaiki na hicho chakula.watu kweli wanafanya kufuru Sana wakati unakuta wanaosoma kayumba hata hicho chakula hawapati.Dunia haina huruma Kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe jirani yako mmoja tu nikajua utageneralize mji mzimaChanzo kikuu cha watoto kuharibika ni shule za boardiing hata zile za madhehebu tofauti tofauti ya kiimani nazo ni hayohayo tu, hazina usalama.
Shule za boarding Tanzanja ni majanga makubwa kwa vizazi vyetu. Maadili zero.
Kuna jirani yangu Dar analia na kujuta kwanini alimpeleka mwanae boarding. Inasikitisha sana.
Hivi madhara ya shule za silikali yenu yanaweza kuwa madogo kuliko ya boarding?Chanzo kikuu cha watoto kuharibika ni shule za boardiing hata zile za madhehebu tofauti tofauti ya kiimani nazo ni hayohayo tu, hazina usalama.
Shule za boarding Tanzanja ni majanga makubwa kwa vizazi vyetu. Maadili zero.
Kuna jirani yangu Dar analia na kujuta kwanini alimpeleka mwanae boarding. Inasikitisha sana.
Kwani serikali haina shule za boarding?Hivi madhara ya shule za silikali yenu yanaweza kuwa madogo kuliko ya boarding?
Kwani serikali haina shule za boarding?
Hivi wewe serikali yako ni ipi?
Unachokisoma unakielewa?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka sanaKuna moja walikuja na mc wao,vyakula,tents,vinywaji,ajabu umeme ukakatika,kilicho niacha hoi KUMBE WALIKUA NA KA GENERETA KAO KABISA,JAMANI KUFURU HIZI.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ajuza ni mdini,hapo kuna dhehebu kalilenga,ila tu kaona aibu...inamuuma sana dini yao kuongoza kwa zero!
ulisoma shule ya boarding ya serikali mkuu? biriani inaingiajeHeee
Sasa mtu asioneshe mapenzi ƙwa mwanae alieƙo mɓali
Hivi mƙuu unajua watoto boarɗing wanaƙula nini?
Sasa ƙama mtoto anapenɗa biriani alizoea ƙupiƙiwa na mamaƙe nƴumbani..ujue boarɗing hawpiƙi
Ƙwahiƴo mama aƙiamua ƙumpiƙia ɓiryani poti zima mara moja ƙwa mwezi nyo ni ƙufuru?
Naam hata mtoro asipoƙimaliza mraɗi ƙafurahia.
Pili shule za boarɗ kwenƴe visiting day mzazi anataƙiwa apeleƙe ƙatoni ƴa juice ama soft drink ƴoƴote ƙwa mwanae
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaongelwa ɓoarɗing za sasa hivi za watoto..sio za zamani enzi za nyerereulisoma shule ya boarding ya serikali mkuu? biriani inaingiaje