Ukipenda Kula vya watu na wewe ujue utaliwa siku mojaWewe tutamla tuu hata ukitutisha hatutishiki tutamla tuu huyo mke wako
hilo ndo zuriTego km tego kuna lile la Mbwa kitu inaganda km Sumaku haitoki mpaka mwenye Mali aje ategue
Lile la Mbwa ndio funikoNilienda Tanga Miaka mitatu iliyopita huko ndiko nilijua kuhusu hilo neno TEGO....
Sio story hilo la Mbwa lipohilo ndo zuri
lakini nahisi huwa ni stori tu
Utaliwaje Yani? Je ukimla cocastic napo utajisifu umemkomoa au ndo umemuongezea utamu mara mbili wa kukulia mke na wa wewe kumlaUkipenda Kula vya watu na wewe ujue utaliwa siku moja
nchi hata ikiibiwa poa tu lakini sio mkeKwanini tusiweke tego kwa mafisadi na wezi wanaoiibia hii nchi?π€
Mmmh ipo hii?!Ukiachana na hayo, kuna hili TEGO, ukitembea na mwanamke aliyetegwa, mwili unakufa gazi
1. Huwezi kuongea lakini unasikia kinachozungumuzwa
2. Huwezi kupumua lakini upo hai,
3. Huwezi kujitikisa, wala kujigeuza,
Watu watazani umekufa kumbe hujafa, hivyo utaenda kuzikwa makaburini wakati bado upo hai π₯π₯,
1. unavyo pelekwa makaburini utasikia na
2. sauti za ndugu jamaa na marafiki wanavyoomboleza utasikia , ila ndo hivyo Huwezi kufanya chocote. R. I. P
Hilo jina lako lina maana gani mbona limekaa kama Mistari ya DAX ?Mmmh ipo hii?!