sijawahi waza hivo mkuuSema ulibaka usipindishe maneno.
huyo huyo mkuuShetani huyu huyu anayempitiaga kila mtu au kuna mwingine?
Thubutu. Baba yake ulishamwambia? Au
Mkuu,Niko zangu pazuri pub moja moto moja baridi , kikakatiza kitu cha hatari halafu kama kinalishia nikasema SHETANI KWEEENDA
Hapa kweli ulimgaragaza ibilisi mkuuKuna duka nilikua nakwenda kununua mahitaji kila Mara, moja ya wahudumu wa mle ndani alikua na tako la kufa mtu halafu alikua akinichangamkia kupindukia, baada ya kulipa alikua ananibebea mzigo wangu Hadi kwenye gari. Huyo msichana alikua ananipa shikamoo, hii shikamoo ndio iliyofanya niahirishe kutia neno.
Sasa siku mtoto wa Kaka anakwenda kututambulisha ukweni kwake nilikuta yule msichana ndio huyo mchumba wa mtoto wa Kaka. Kumbe yule mtoto alikua anajua Mimi Ni baba mkwe ndio Ile shikamoo na heshima zote.
Ukiwa Dar, mwanamke akikupa shikamoo, hebu punguza mihemko jiulize hii shikamoo ni ya kweli au .....maana Dar hatusalimiani Kama mikoani.
Hilo nalo neno shekheHapo ulimshda shaatan au 30 ilikutisha ?
Dah umetisha sana mkuuKuna duka nilikua nakwenda kununua mahitaji kila Mara, moja ya wahudumu wa mle ndani alikua na tako la kufa mtu halafu alikua akinichangamkia kupindukia, baada ya kulipa alikua ananibebea mzigo wangu Hadi kwenye gari. Huyo msichana alikua ananipa shikamoo, hii shikamoo ndio iliyofanya niahirishe kutia neno.
Sasa siku mtoto wa Kaka anakwenda kututambulisha ukweni kwake nilikuta yule msichana ndio huyo mchumba wa mtoto wa Kaka. Kumbe yule mtoto alikua anajua Mimi Ni baba mkwe ndio Ile shikamoo na heshima zote.
Ukiwa Dar, mwanamke akikupa shikamoo, hebu punguza mihemko jiulize hii shikamoo ni ya kweli au .....maana Dar hatusalimiani Kama mikoani.
Mlevi ni mtu wa hovyo sanaMkuu,
Mnawezaje kupigaa tungi mpaka alfajir hii..
Nini kilikusibu mkuu, maana kwa mtaalam kama wewe mmmh. Au hakukuvutia? Hapa kweli shetani alishindwa.Nililazimika kulala chumba kimoja na dada fulani miaka hiyo, tulikuwa tunasafiri gari ikatuharibikia njiani. Sikushughulika naye kwa lolote hadi siku iliyofuata. Aliomba namba nikampa.
Alipofika aendako akanitumia ujumbe kuniuliza kwanini sikumt**mba ilhali yeye alikuwa tyr ameshajiandaa kwa ktiana? Nilimjibu ~ sikuwa na hilo wazo la kufanya hivo kichwani mwangu...alistaajabu sana.
Mawasiliano yaliendelea nikakaja kukata mawasiliano baada ya kuona anazodi kuweka msisitizo juu ya suala la kufanya uzinzi.