Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,362
- 2,261
Kweli wewe Notorious Big. Walikuwa wanakusema kwa maana ya kukucheka na kukukebehi??Nakumbuka kipind napga kaz BRAC ofisini wafanyakaz wengi walikua wanawake siku hiyo nmetoka nje kuongea na mlinzi narudi ofisini nakuta wananiongea nilileta noma sana tembeza vibao wale wakubwa zangu maza zangu nikawakanya sana ilikua noma hadi kwa boss.
Ulikuwa na mazoea nao?