Umewahi kukutana na Shemale? Ushuhuda hapa

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,902
Reaction score
15,931
Hivi ni kweli kuna uwepo wa hawa wanawake wenye mashine za kiume? Kwa wale wadau wa 'Pilau' nadhani mtakuwa mmekutana nao wadada wenye madude na zinafanya kazi kama wanaume, sasa huwa sielewi kama ni kweli hawa watu wapo ama ni editing za mzungu. Kama umewahi kukutana na mwanamke wa namna hii naomba ushuhuda wako...
 
Ni PM
 
Kabla huja uliza ungetafuta kwanza hizi mambo zimezungumziwa humu
 
Nenda pale hotel maarufu kwa mashoga na ma shemale iko Magomeni Usalama Darisalama.

We uliza tu kijana wa mtaani hapo atakupeleka mpaka sebuleni kwao.
 
Hivi ni kweli kuna uwepo wa hawa wanawake wenye mashine za kiume? Kwa wale wadau wa 'Pilau' nadhani mtakuwa mmekutana nao wadada wenye madude na zinafanya kazi kama wanaume, sasa huwa sielewi kama ni kweli hawa watu wapo ama ni editing za mzungu. Kama umewahi kukutana na mwanamke wa namna hii naomba ushuhuda wako...

Sasa ya nini kuandika ushuhuda huu hapa!
 
Back
Top Bottom