umewahi kukumbana na hili jambo?

umewahi kukumbana na hili jambo?

Acha kuskiza maneno ya watu jithibitishie mwenyewe ndy ufanye maamuzi
 
Ukisikia mahaba niue ndo hii.
Anyway kama hujajifunza muda wote huo subiri uje kulea watoto wa kama bushoke.
 
nina mpenzi wangu wa kike tuna kama mwaka mmoja kwenye mapenzi na watu wengi wanasema hajatulia na mm nikajaribu kumpiga chini lakin baada ya muda mfupi nikamrudia nikampiga chini kama mara nne hv ila moyo wangu bado upo kwake na yeye ananipenda sana sasa jamani mnisaidie nifanyeje na watu wanasema hajatulia na mm kwa sehemu flan nimeshuhudia ila nampenda sana huyu binti toka moyon na kumsahau siwezi alafu tunampango wa kuishi pamoja kama mme na mke

Kama yaliyosemwa umethibisha kuwa ni kweli, hhuna budi kufanya MAAMUZI MAGUMU!
 
Back
Top Bottom