umewahi kukumbana na hili jambo?

umewahi kukumbana na hili jambo?

Joined
Sep 25, 2014
Posts
30
Reaction score
1
nina mpenzi wangu wa kike tuna kama mwaka mmoja kwenye mapenzi na watu wengi wanasema hajatulia na mm nikajaribu kumpiga chini lakin baada ya muda mfupi nikamrudia nikampiga chini kama mara nne hv ila moyo wangu bado upo kwake na yeye ananipenda sana sasa jamani mnisaidie nifanyeje na watu wanasema hajatulia na mm kwa sehemu flan nimeshuhudia ila nampenda sana huyu binti toka moyon na kumsahau siwezi alafu tunampango wa kuishi pamoja kama mme na mke
 
subiri mpaka umfumanie ndo umuache.. kuna mambo hayahitaji ushauri kabisa, akili ndogo sana inatumika kuamua kuhusu suala kama hili.

una miaka mingapi kwanza??? maana naeza nikatoka povu kumbe naongea na mtoto
 
Dah, hiki kizazi kigumu hasa! Shida za kuruhusu simu mashuleni ndiyo hizi...
 
mkuu ukiamua kupiga mtu chini ni lazima ukubali na consequences zake..belive me kama hajatulia ni hivyo hatatulia kamwe..so hapo ni kuamua kuendelea kuwa ----- au kupiga chini kuendelea na maisha na baadae utasahau..
 
Wakomeshe watu wanaokwambiakwambia kwa kuvaa tisheti iliyoandikwa:Mahaba niue!(jus bluffing)
 
nina mpenzi wangu
wa kike tuna kama mwaka mmoja kwenye mapenzi na watu wengi wanasema
hajatulia na mm nikajaribu kumpiga chini lakin baada ya muda mfupi
nikamrudia nikampiga chini kama mara nne hv ila moyo wangu bado upo
kwake na yeye ananipenda sana sasa jamani mnisaidie nifanyeje na watu
wanasema hajatulia na mm kwa sehemu flan nimeshuhudia ila nampenda sana
huyu binti toka moyon na kumsahau siwezi alafu tunampango wa kuishi
pamoja kama mme na mke

nyote hamjatulia kwaiyo mnaendana.
 
nina mpenzi wangu wa kike tuna kama mwaka mmoja kwenye mapenzi na watu wengi wanasema hajatulia na mm nikajaribu kumpiga chini lakin baada ya muda mfupi nikamrudia nikampiga chini kama mara nne hv ila moyo wangu bado upo kwake na yeye ananipenda sana sasa jamani mnisaidie nifanyeje na watu wanasema hajatulia na mm kwa sehemu flan nimeshuhudia ila nampenda sana huyu binti toka moyon na kumsahau siwezi alafu tunampango wa kuishi pamoja kama mme na mke
Labda nikulize ulichompendea nini? juu yakua umeshuhudia lakini unampenda sasa unapenda michezo yake raha zake,mcheruko wake,mavazi yake umbo lake au moyo tuu unapenda hujui unapenda nini?nijibu ili nijue ulaumu Moyo au Macho au Akili.............
 
Inatokea sana hili hasahasa ukiwa unapelekwa zaidi na 'emotion' na wakati mwingine unaweza kuingia kwenye maisha ya kuja kuteseka kwenye ndoa baadae. Usidharau unachoshauriwa na watu, changanya na mawazo yako binafsi fanya maamuzi mazuri kwa ajili ya maisha yako ya baadae na familia yako.
 
love is sucrificial in nature,ingawa sio rahisi na kinyume cha silika zetu,upendo wa kweli unahusisha kiasi kikubwa cha kuhatarisha maisha yetu!
 
Kugongewa kawaida cha msingi usijue tu ukimfumania mtimue moja kwa moja
 
Back
Top Bottom